Polepole asikitishwa na JamiiForums kufungiwa, TCRA mngemkanya Wicknell Chivayo

Polepole asikitishwa na JamiiForums kufungiwa, TCRA mngemkanya Wicknell Chivayo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Balozi aliyejiuzulu na Katibu wa zamani wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, amesema kitendo cha TCRA kufungia Majukwaa ya JamiiForums wakati nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 ni Udikteta, Unyanyasaji na Uvunjifu wa Uhuru wa kupata Taarifa.

Polepole ameongeza kuwa uamuzi huo unapanda mbegu mbaya kwenye nchi badala ya kutoa ufafanuzi unaotakiwa.

 
October tunatiki na mama ✅
20250906_070150.jpg
 
Back
Top Bottom