pulex
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 536
- 2,213
Ni ya leoWakuu haya ni ya lini tena??
Au mimi nipo ufaransa kama VPN inavosema
Ni ya leoWakuu haya ni ya lini tena??
Au mimi nipo ufaransa kama VPN inavosema
Ama kweli chawa ni watu wasio na akili! Machawa yakikaririshwa kutamka 'Oktoba tunatiki', kila yakiuliza chochote, yanabakia yabweka 'oktoba tunatiki'.October tunatiki na mama ✅
View attachment 3467575
2005Kasema lini?
Wajinga ndiyo watatikiOctober tunatiki na mama ✅
View attachment 3467575
Upo ufaransa cause Tz JF imefungiwa haaa haaWakuu haya ni ya lini tena??
Au mimi nipo ufaransa kama VPN inavosema
😂😂😂😂😂Mkuu naomba unitag pleas kama hautojali
Kwasababu hakusema kipindi kile bado hiyo haiwezi kuondoa haki yake ya kujielezaWrite your reply...aache usenge kipindi cha jiwe hawa akina melo walipata taabu sana mbona hakusema
Watendaji serikalini ni makada wanaowania teuzi.Balozi aliyejiuzulu na Katibu wa zamani wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, amesema kitendo cha TCRA kufungia Majukwaa ya JamiiForums wakati nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 ni Udikteta, Unyanyasaji na Uvunjifu wa Uhuru wa kupata Taarifa.
Polepole ameongeza kuwa uamuzi huo unapanda mbegu mbaya kwenye nchi badala ya kutoa ufafanuzi unaotakiwa.
Pesa iliyomwagwa hapa ni balaa, madogo wanazila sana ten ten za wagombea.October tunatiki na mama ✅
View attachment 3467575
Mwisho ametudanganya kuwa wakati wao walikemea vyombo vya habari vilipo vamiwa na walichukizwa! Wakati wote tuliona baada ya chombo cha habari kuvamiwa alie adhibiwa ni Waziri (Nape) na sio alie vamia! Tusiwe wasahaulifu watu wa kupokea propaganda kirahisiBalozi aliyejiuzulu na Katibu wa zamani wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, amesema kitendo cha TCRA kufungia Majukwaa ya JamiiForums wakati nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 ni Udikteta, Unyanyasaji na Uvunjifu wa Uhuru wa kupata Taarifa.
Polepole ameongeza kuwa uamuzi huo unapanda mbegu mbaya kwenye nchi badala ya kutoa ufafanuzi unaotakiwa.
Kucheka tu, kunitag aaah 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Utajuaje kama hakusema humu JF ila kwa kuficha utambulisho wake halisi kama tufanyavyo na sisi wengine?Write your reply...kipindi cha jiwe hawa akina melo walipata taabu sana mbona hakusema
😂😂😂😂Kucheka tu, kunitag aaah 🤣🤣🤣
CCM haina rafikiWrite your reply...kipindi cha jiwe hawa akina melo walipata taabu sana mbona hakusema