Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kila mwenye akili timamu kasikitishwaPolepole asikitishwa na JamiiForums kufungiwa, adai TCRA mngemkanya Wicknell Chivayo atoe picha zile
It isnβt an accident that we remain economically challenged. Too many fools!October tunatiki na mama β
View attachment 3467575
Upo kifungoni na upo live!Naombeni link ya Uzi ambao umetufanya tuwe kifungoni wakuu mpaka Sasa.
Tuko kwenye kifungo Cha nje mkuu!Upo kifungoni na upo live!
Nenda kule complaints utauona, sahivi uzi wowote wa chibaba ni wa motoTuko kwenye kifungo Cha nje mkuu!
Naombeni tu hiyo Link ya huo uzi ambao umetuletea yote haya.
Nimeperuzi Jukwaa lote lile mkuu sijauona. Naomba unitag pleasNenda kule complaints utauona, sahivi uzi wowote wa chibaba ni wa moto
Hata mpumbavu akinyamaza huonekana ana HEKIMAOctober tunatiki na mama β
View attachment 3467575
Ametufungia na machawa zake wapo ndani, machawa kumpambania kote lakini wapo na VPN humuTuko kwenye kifungo Cha nje mkuu!
Naombeni tu hiyo Link ya huo uzi ambao umetuletea yote haya.
πππππNenda kule complaints utauona, sahivi uzi wowote wa chibaba ni wa moto
Uzi hatarii huo, hata comments zake zinafatiliwa, LolNimeperuzi Jukwaa lote lile mkuu sijauona. Naomba unitag pleas
Mkuu naomba unitag pleas kama hautojaliUzi hatarii huo, hata comments zake zinafatiliwa, Lol
πππππ
LeoKasema lini?