Polepole asikitishwa na JamiiForums kufungiwa, TCRA mngemkanya Wicknell Chivayo

Watendaji serikalini ni makada wanaowania teuzi.

Lazima wafanane na mteuaji
 
Mwisho ametudanganya kuwa wakati wao walikemea vyombo vya habari vilipo vamiwa na walichukizwa! Wakati wote tuliona baada ya chombo cha habari kuvamiwa alie adhibiwa ni Waziri (Nape) na sio alie vamia! Tusiwe wasahaulifu watu wa kupokea propaganda kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…