Polepole atangaza CCM kusimamia matibabu ya Wasanii waliopata ajali

Polepole atangaza CCM kusimamia matibabu ya Wasanii waliopata ajali

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Chama cha Mapinduzi kimesema kuwa kinafuatilia kwa ukaribu na kuhakikisha wasanii watatu ambao ni Luludiva, Belle9 na Bonge la Nyau ambao wamepata ajali hii leo wakati wakitokea mkoani Iringa wanapata matibabu haraka.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho. Humphrey Polepole kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika. “Chama Cha Mapinduzi tumepokea kwa mshtuko taarifa za ajali mbaya ya gari iliyowahusisha wasanii Belle9, Luludiva na Bonge la Nyau, tunafuatilia kwa ukaribu kuhakikisha wanapata huduma ya matibabu haraka na tunamwomba Mungu awape wepesi na kupona haraka” Polepole


Screenshot_20200907-155514.png

PIA SOMA:
- CCM yapokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya ya Wasanii Belle 9 na Bonge la Nyau, yawatakia uponyaji wa haraka!
 
Washukuru hiyo ajari wamepata msimu huu wa < ila Kama wangepata > ingekua balaa.
 
Chama Cha watu huthamini watu wake wanapopata matatizo.

Chama Cha wanafiki hufurahia watu wanapopata matatizo.

Na ukitaka kutofautisha chama Cha watu na wanafiki pitia comments za huu Uzi.

Poleni wasanii wetu,
Get well soon
Thanks CCM for your kindship.
 
Kaka mkubwa hivi vigongo vyako siku hizi duh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1536]
Wnakera sana hawa watu! ra wasanii, mara kusomba watu, khee! Hivi mtu atabadili mawazo ya ampigie nani kura kwa vile mmeleta wasanii? Atakuwa bado anawakumbuka wasanii?
 
CCM wakati huu wa uchaguzi mtawafaa watu wengi hasa wanaopata matatizo
 
Back
Top Bottom