Polepole atangaza CCM kusimamia matibabu ya Wasanii waliopata ajali

Polepole atangaza CCM kusimamia matibabu ya Wasanii waliopata ajali

Jamaa ni muongo mkubwa hadi waliokuwa wanafunzi wake pale UDSM wanamshangaa sana na kudai yule aliyekuwa mhadhiri na huyu wa maccm ni watu wawili tofauti kabisa na wakikutana wanaweza kuuana.

Hawa watu ni vigeugeu mara 70 ya Vinyonga. Dr. Bashiru ni mtu muongomuongo na asiye na misimamo thabiti
 
Kipindi hichi cha uchaguzi hakuna linaloshindikana
 
Resi zimekuwa nyingi+mipombe
Ajali lazima

Ova
 
Chama cha Mapinduzi kimesema kuwa kinafuatilia kwa ukaribu na kuhakikisha wasanii watatu ambao ni Luludiva, Belle9 na Bonge la Nyau ambao wamepata ajali hii leo wakati wakitokea mkoani Iringa wanapata matibabu haraka.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho
Humphrey Polepole kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika.
“ Chama Cha Mapinduzi tumepokea kwa mshtuko taarifa za ajali mbaya ya gari iliyowahusisha wasanii Belle9, Luludiva na Bonge la Nyau, tunafuatilia kwa ukaribu kuhakikisha wanapata huduma ya matibabu haraka na tunamwomba Mungu awape wepesi na kupona haraka” Polepole
Polepole atangaza CCM kusimamia matibabu ya Wasanii waliopata ajali – Millardayo.com
View attachment 1561739
Unafki wa Polepole na liccm lao hautustui tena. Hata wakiwapeleka wakatibiwe India fresh tu
 
Jamaa ni muongo mkubwa hadi waliokuwa wanafunzi wake pale UDSM wanamshangaa sana na kudai yule aliyekuwa mhadhiri na huyu wa maccm ni watu wawili tofauti kabisa na wakikutana wanaweza kuuana.
Huyu wa sasa akikutana na yule wa enzi za Bunge la Katiba anaweza kummiminia risasi 38 ili apotee duniani jumla😁
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Sahz CCM hata birthday yako watashiriki au kujengea makabuli watafika
 
Back
Top Bottom