Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.

"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Mr. Slow bado tu upo timu viroboto, wenzio ni wenye nyumba🤔.
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.

"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Hawa fisi wakiumana mimi nafarijika sana natamani wauane kabisa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.

"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Hi Movie haiwezi kuisha hivi hivi......lazima kuna mtu ataumia hapa.....Ngoja niagize Heineken zangu za kutosha; na Pop corn. Nile taraaatiiibu; huku naangalia hii movie inavyokwenda.
 
Hivi ndg. Polepole amesahau UHUNI wake wa KUWARUBUNI wabunge wa UPINZANI?!!!

Hivi ndg. Polepole amesahau UHUNI wake WA KUWAAHIDI VYEO WAGOMBEA WA UBUNGE VITI MAALUM?!!!

Huyu ndugu yetu kweli ni LOPOLOPO.........
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.

"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Tumeambiwa punda wakati wa kuchinjwa hataacha kurusha mateke., lakini karoboto ni kamdudu kadogo sana
 
Da!wahuni wanaipata fresh yao[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…