Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Bulembo ndio alikuwa kampeni Manager wa Magufuli mwaka 2015."Tuliwaheshimu Polepole na mwenzake kutoka CUF anaitwa Bashiru kwa sababu tu aliyewateuwa tulikuwa tunamheshimu, Magufuli alimteuwa Bashiru Kutoka Cuf kuja kutuhoji kuhusu mali za chama nikamgomea kunihoji nikamwambia yeye sio mwana CCM" Abdallah Bulembo.
Hapo kwenye red...kweli Bulembo ameekili yeye ni MHUNI!
Polepole ni kibaka fulani tu hana uwezo wa kudindishiana msuli na Bulembo.
Wanaokijuwa chama vizuri ni lazima uwe upande wa mwenyekiti ndio unakuwa salama na kula mema ya nchi, Kiroboto bado haamini kama Magufuli amekufa na harudi tena kamwe, akubali kuishi kama mtoto yatima kama wenzake walivyokubali wakati wa ufalme wao na mungu wao wa Chato.
Kiroboto atueleze leo sababu za Membe kufutwa uanachama ni zipi?