Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.

"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bulembo aliuza Shule ya Jumuia Magufuli akairudisha Mzee asifikiri Machafu yake hayajulikani
 
Mr. Slow bado tu upo timu viroboto, wenzio ni wenye nyumba🤔.
Sasa hamtaki kuukubali ukweli hapo mtaa wa kijani au ndio wale kukosolewa ni kutukanwa japomnahimiza kukosoana ruksa ila kwa staha, ola nawaza staha inakujaje bila kuwepo uungwangana na kuvumiliana, na kusikolizana bila kuoneana, kunyanyasana na kudharauliana?
 
Kama upinzani mna nunulika basi nyie ni bidhaa za kuoza tu kama nyanya, hamfai hata hata bule.
Mtu aende barabarani kujiuza mwili wake halafu akitokea mnunuaji na wakaafikiana bei alaumiwe mnunuaji? Kama na lawama mlaumu aliyeamua kujiuza, mbona wengine walikataa kujiuza na wakadumu mpaka mwisho.
 
Polepole alianza kuwa Msemaji wa Chama kabla ya kuwa Mwanachama …kama ilivyotokea kwa Haji Manara na Yanga halafi Haji akajikuta anajifanya Yanga kuliko kina Mzee Mpili
Haji anajitoa akili lakini inaeleweka sababu ni pesa ya GSM.
 
Mnachezeshwa ngoma wanayotaka wao na nyie mnakatika
I love my country kkk
 
Team Wahuni wanaipata habari yao kwa speed ya 5G. kutoka kwa ndugu Mjamaa a.k.a. Ndugu Kiroboto. Mpaka sasa Kiroboto 3. Wahuni 0.
Hajawahi kuwa mjamaa anaigiza ujamaa kama wasanii wa kikundi cha Kibisa.
 
Ccm wana akili sana wameua mikutano ya vyama vya siasa ili waanzishe minyukano yao na sisi tunashabikia!!!
Sio kweli. Mbona mikutano ya siasa ilifutwa kianzia mwaka 2015, na minyukano haikuwapo. Minyukano imeanza baada ya Magufuri Kufariki.
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.

"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Polepole-Kiroboto the Great, he will die trying, the end is nigh!
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.

"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Malizia muhuni huyo
 
Mwalimu Nyerere alipata kusema "MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA WOTE NGOMA MOJA"....

#Siempre CCM
Kama mnajua hivyo sasa kwa nini mmtaje polpole peke yake badala ya kuwalaunu walionunuliwa?
 
Bulembo kweli ni tapeli na mwizi (ulizeni ile jumuiya ya wazazi alivyoifilisi) ILA
Polepole nae ni kiroboto na mhuni kama wahuni wengine na atambue kuwa mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.

"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Hatariiiiii !! Duh! Dunia inaenda haraka sana !!
 
Back
Top Bottom