Polepole: Bwawa la Mwalimu Nyerere lilipaswa kukamilika 2021. Na sasa kuna mgogoro na tutadaiwa deni kubwa sana

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Polepole: Bwawa la Mwalimu Nyerere lilipaswa kukamilka 2021 lakini kulikuwepo na mchezo pale, yupo waziri pale aliporudi na mkandarasi alikuwa anazungumza naye moja kwa moja anaruka mpaka mshauri tuliomuweka wenyewe. Na pale kuna mgogoro na tutadaiwa deni mkubwa sana

Hu

Huyo kima amechanyikiwa, mbwa km huyo hana access na data zozote anajitungia maupumbavu tu, ni mwendawazimu anaweza kumsikiliza huyo ngedere
 
Sa

Sasa anamlalamikia nani wakati 2021 ye na Magu ndio walikuwa madarakani na Samia aliikuta iko 30%, huyo mbwa atakuja kuvua nguo hadharani
 
Hu
Huyo kima amechanyikiwa, mbwa km huyo hana access na data zozote anajitungia maupumbavu tu, ni mwendawazimu anaweza kumsikiliza huyo ngedere
Acha makasiriko chawa wa Samia. Mbona wewe umemsikiliza?? Usitupangie wa kumsikiliza .
 
Magu alifariki march 2021 bwawa likiwa 39%
Binafsi ni muislam ila siwezi kutetea ujinga kisa muislam mwenzangu, maana hata nikienda muhimbili eti nikitaja mm ni Bakari au Haruna napata matibabu bure, labda uwe kwenye mfumo wa upigaji tena mpo wachache waislam wenzake wanazuiwa hadi kutoa maiti hospital, tatizo pesa.
 
Uko vizuri sana..jamaa now Hana data zozote amebaki kuokoteza kwenye mitandao au asubiri wenye mamlaka waongee then apite na maneno yao..
Hu
Huyo kima amechanyikiwa, mbwa km huyo hana access na data zozote anajitungia maupumbavu tu, ni mwendawazimu anaweza kumsikiliza huyo ngedere
 
Magu alifariki march 2021 bwawa likiwa 39%
Kwenye ilani ccm wakiwa na jpm na Samia kama mgombea mwenza na baadae kaja kuwa rais alitakiwa kutekeleza miradi ya umeme saba, hadi sasa hilo la nyerere halina dalili za kuisha na wahuni wameweka deni bandia
 
Back
Top Bottom