Polepole: Bwawa la Mwalimu Nyerere lilipaswa kukamilika 2021. Na sasa kuna mgogoro na tutadaiwa deni kubwa sana

Polepole: Bwawa la Mwalimu Nyerere lilipaswa kukamilika 2021. Na sasa kuna mgogoro na tutadaiwa deni kubwa sana

MAGUFULI AMEFARIKI MWEZI WA TATU MWAKA 2021.

KWA NINI NA YEYE MAGUFULI ALIKAA KIMYA BWAWA KUCHELEWA?

HAIJAWAI KUTOKEA POPOTE DUNIANI BWAWA LA ZAIDI YA 2000 MEGAWATTS KUJENGWA KWA MIAKA MITATU LIKAISHA

KAMA UNABISHA LITAJE JINA HILO BWAWA

MEGA DAM NI COMPLEX ENGINEERING PROJECT NA HUWA YANAJENGWA KWA MIAKA ISIYOPUNGUA MITANO.

Kumbuka watu 11,000 wameshiriki kulijenga lile bwawa kuonesha ukubwa wa kazi ulivyo
 
Polepole: Bwawa la Mwalimu Nyerere lilipaswa kukamilka 2021 lakini kulikuwepo na mchezo pale, yupo waziri pale aliporudi na mkandarasi alikuwa anazungumza naye moja kwa moja anaruka mpaka mshauri tuliomuweka wenyewe. Na pale kuna mgogoro na tutadaiwa deni mkubwa sana

In Jan 2021 Bwana lilikua bado sana

Na polepole alikua serikalini…. He is going mental

Anajua kwamba amemvua nguo Mwamba?
 
Hu
Huyo kima amechanyikiwa, mbwa km huyo hana access na data zozote anajitungia maupumbavu tu, ni mwendawazimu anaweza kumsikiliza huyo ngedere
Kama haujamsikiliza unajuaje kama anajitungia? Na je ameanza kujitungia leo au alikuwa anajitungia tokea akiwa kiongozi ndani ya CCM?
 
Back
Top Bottom