Polepole: Bwawa la Nyerere ni mradi wa kufa na kupona hatutakubali wahuni wauchezee, Winchi ni kitu kidogo sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati.

Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona, amesema.

Chanzo: Star tv

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA
 
unaijua vieitee wewe?
1638608754237.png
 
6 trilioni nyingi sana, waache mzaha aisee..walimalize wanajaze maji, turbines ziwashwe gauges zisome 2135MW..... mitambo ya gas izimwe na kubaki standby, Luku bei iende chini haraka....this was the plan not otherwise..
Wasiwe kama wahuni wa UKAWA walikula hela kwenye bunge la katiba kisha wakaingia mitini hakuna katiba wala nini!
 
halafu wanataka tena katiba mpya, wakati ile mgogoro ulikuwa serikali mbili au tatu...wangekubali yaishe...mchakato ukaisha angalau mengine yangekuwa solved halafu infuture walianzishe upya...

soon nitafungua kesi wote warudishe zile hela na JK ashitakiwa kwa kulitia taifa hasara na kutupotezea muda wananchi...
 
Mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati.

Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona, amesema.

Source: Star tv
Kwani Makamba anasemaje? Makamba ndiye mwenye dhamana ya bwawa hilo. Hao Star Tv wanaogopa nini kwenda kumhoji Makamba? Wananchi wanataka kumsikia waziri mwenye dhamana. Wanamwonea bure Mr Polepole na hii ni habari ya kichonganishi. Ni habari ambayo haiko balanced na ni unfair kwa Polepole.
 
Amri kama hii ya kumaliza haraka inatoka wap?, aliyepo madarakani no Rais wa nchi una mamlaka gani ya kutoa kauli hiyo, Tuwe na busara kwa viongozi wenye hekima.
 
Kwani Makamba anasemaje? Makamba ndiye mwenye dhamana ya bwawa hilo. Hao Star Tv wanaogopa nini kwenda kumhoji Makamba? Wananchi wanataka kumsikia waziri mwenye dhamana. Wanamwonea bure Mr Polepole na hii ni habari ya kichonganishi. Ni habari ambayo haiko balanced na ni unfair kwa Polepole.
Wapi alipomtaja Makamba?!
 
6 trilioni nyingi sana, waache mzaha aisee..walimalize wanajaze maji, turbines ziwashwe gauges zisome 2135MW..... mitambo ya gas izimwe na kubaki standby, Luku bei iende chini haraka....this was the plan not otherwise..
Kiurahisi hivyo eeeeeh!
Just wondering.......
 
Back
Top Bottom