Polepole: Bwawa la Nyerere ni mradi wa kufa na kupona hatutakubali wahuni wauchezee, Winchi ni kitu kidogo sana!

Polepole: Bwawa la Nyerere ni mradi wa kufa na kupona hatutakubali wahuni wauchezee, Winchi ni kitu kidogo sana!

Isipoisha mtafanya nini?
Tunataka miradi yote mikubwa ilivyoachwa na jabali Rais JPM iishe otherwise HAPATATOSHA HATUTAMUELEWA MTU

#msemajiwawananchiwanyonge#
 
Mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati.

Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona, amesema.

Source: Star tv
Napita huku nacheka
 
Stigler itaishia awamu ya kwanza TU
 
Wapi alipomtaja Makamba?!
Ninaowalaumu ni hao waandishi wa Star Tv kwenda kumhoji Polepole kuhusiana na bwawa hilo badala ya kwenda kumhoji Makamba ambaye ndiye mwenye dhamana.

Alichoongea Polepole ni sahihi kabisa. Hiyo sababu ya winch aliyoitoa Makamba ni danganya toto tu. Waandishi wa habari wa Star Tv na wa vyombo vingine vya habari wanapaswa kumbana kisawasawa huyu Makamba kwa mahojiano live hadi kieleweke. Wananchi wanahitaji huo umeme wa bei nafuu kama walivyoahidiwa kwenye ilani ya uchaguzi. Wananchi waliichagua CCM kwa sababu ya ahadi zake nzuri sana kama zilivooneshwa kwenye ilani yake ya kurasa 356. Vyama vingine vyote havikuwa na ilani yo yote ya maana ya kimaandishi waliyokuwa wakiinadi. CDM ahadi yao kubwa ilikuwa kuimega nchi kimajimbo (states) yanayojitegemea kiutawala kama yale Amerika, na pia kuibinafisha miradi yote mikubwa hususani ile ya SGR na JNHPP.

Hivyo wananchi wanasubiri utekelezaji wa hizo ahadi. Waandishi wa habari kama muhimili wa nne wawabane sana hao watekelezaji (mawaziri) wa hizo ahadi. Polepole si mtekelezaji wa hizo ahadi.
 
Ngoja aendelee kutapatapa na kuweweseka
Mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati.

Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona, amesema.

Source: Star tv
 
Amri kama hii ya kumaliza haraka inatoka wap?, aliyepo madarakani no Rais wa nchi una mamlaka gani ya kutoa kauli hiyo, Tuwe na busara kwa viongozi wenye hekima.
Rais wa Tanzania ameajiriwa na Watanzania.
 
Mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati.

Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona, amesema.

Source: Star tv
(Polepole viti maalumu)aache kubwaka amekua mbwa asie na meno, alete tena maelezo ya ya jinsi hayawani Magufuli alivyo JAMBAKA ile trillion 1,5.
 
Hii ndio effect ya nchi kuendeshwa kama bado boda, kila kiongozi anaeshika madaraka anakuja na plans na vipaumbele vyake mwisho wa siku baadhi ya miradi inajifia kwa sababu haikuwa kipaumbe cha kiongozi aliepo madarakan
 
  • Thanks
Reactions: Ame
6 trilioni nyingi sana, waache mzaha aisee..walimalize wanajaze maji, turbines ziwashwe gauges zisome 2135MW..... mitambo ya gas izimwe na kubaki standby, Luku bei iende chini haraka....this was the plan not otherwise..
Kuna watu wakiona hii information roho inataka kutoka....
 
Back
Top Bottom