Polepole: Bwawa la Nyerere ni mradi wa kufa na kupona hatutakubali wahuni wauchezee, Winchi ni kitu kidogo sana!

Polepole: Bwawa la Nyerere ni mradi wa kufa na kupona hatutakubali wahuni wauchezee, Winchi ni kitu kidogo sana!

Amri kama hii ya kumaliza haraka inatoka wap?, aliyepo madarakani no Rais wa nchi una mamlaka gani ya kutoa kauli hiyo, Tuwe na busara kwa viongozi wenye hekima.
We unamuona huyo, ila kuna wenzako wameshika kiti chake nyuma ya pazia, ye ndio anawaelewa.....ndio mfumo wetu ulivyo mkuu , hapa hakuna mgombea binafsi, tuna ilani ya chama,
 
WaTZ hawataki mambo ya Urojo kamilisheni Bwawa.

Muhuni mmoja tu anasimama na kusema Bwawa limecheleweshwa kwa siku 477 yaani mwaka 1 Na siku 112 Wakati Ujenzi umeanza 2019 April leo 2021 Dec tofauti ya miaka 2 Na miezi 8. Je kwa kasi ya mradi Na ulipofikia Mwenye akili timamu anaweza kusadiki kuwa muhuni huyu mmoja anataka kutuaminisha nini watz wote? Kwamba ni muujiza hatua ulipofikia au ni mradi tofauti anao usemea?
 
Mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati.

Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona, amesema.

Chanzo: Star tv


PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA
January alikuwa anatuchezea kweli yaani winch kweli!
 
Back
Top Bottom