Tunataka miradi yote mikubwa ilivyoachwa na jabali Rais JPM iishe otherwise HAPATATOSHA HATUTAMUELEWA MTU
#msemajiwawananchiwanyonge#
Napita huku nachekaMbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati.
Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona, amesema.
Source: Star tv
Ninaowalaumu ni hao waandishi wa Star Tv kwenda kumhoji Polepole kuhusiana na bwawa hilo badala ya kwenda kumhoji Makamba ambaye ndiye mwenye dhamana.Wapi alipomtaja Makamba?!
Mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati.
Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona, amesema.
Source: Star tv
Wakati JPM akiwa hai sikujua kama Polepole ni hazina kubwa sana katika Taifa hili.......
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Amevaa boxer ya Chadema!
Wasiwe kama wahuni wa UKAWA walikula hela kwenye bunge la katiba kisha wakaingia mitini hakuna katiba wala nini!
Mtanzania.kaongea kama nani
Wapi alipomtaja Makamba?!
Rais wa Tanzania ameajiriwa na Watanzania.Amri kama hii ya kumaliza haraka inatoka wap?, aliyepo madarakani no Rais wa nchi una mamlaka gani ya kutoa kauli hiyo, Tuwe na busara kwa viongozi wenye hekima.
Rais wa Tanzania ameajiriwa na Watanzania.
Tanzania mna mungu tofauti na Mungu tunayemuabudu?Mbna yule mungu wao wa udongo hawakuwa wakitoa amri hz
(Polepole viti maalumu)aache kubwaka amekua mbwa asie na meno, alete tena maelezo ya ya jinsi hayawani Magufuli alivyo JAMBAKA ile trillion 1,5.Mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati.
Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona, amesema.
Source: Star tv
Na mvua zikigoma na mto kukauka?namuunga mkono Polepole kwenye hili.....lile listiggler lazima tuuone mwisho wake hatutaki blah blah, kodi zetu zimeshalala pale..
Kuna watu wakiona hii information roho inataka kutoka....6 trilioni nyingi sana, waache mzaha aisee..walimalize wanajaze maji, turbines ziwashwe gauges zisome 2135MW..... mitambo ya gas izimwe na kubaki standby, Luku bei iende chini haraka....this was the plan not otherwise..
Tutawapiga chini wakwamishaji kuwathibitishia kuwa Tanzania ina wenye nguvu na moyo wa kuilinda...Just watch and see!Isipoisha mtafanya nini?
Mmiliki wa bwawa,au vipi?kaongea kama nani