Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Upinzani ujipange 2025...Hii ya wananchi kuwapa punziko la aina yake sawa na kujiangalia kwenye kioo alafu ushtuke kuiona sura yako.
 
Mhuri wa Moto?! Hata wa ikulu unapatikana...kuhusu kuingia barabarani hizo ni story tu hakuna wa kuingia road,tupumzishane tafadhali acheni mshindi afanye kazi.
Hakuna anayeingia barabarani.
Arusha na Moshi wameichinja Chadema na wakachekelea kwa raha zao.
 
Asee Tz
Kama political science tunaiweza
Maswali magumu kwa majibu mepesi[emoji34][emoji34]
 
Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?

Hao ndio waliopitishwa kwa nguvu na chama na wakapewa ushindi wa mezani licha ya kukataliwa na hata ccm wenzao! Banana Republic
 
Huyu amekuwa mfano mzuri ya matapeli wazuri kupitia majukwaa ya siasa. Alitapeli watu kipindi cha katiba mpya na sasa anatapeli kipindi cha awamu ya 5
 
Kwa hili polepole kateleza vibaya
😁😁😁😂😂😂

Mungu huwaumbua mahasimu wa haki bila hata wao kujua.

Watanzania wengi hawakuamini hili...ila yeye kawaaminisha.

Mpuuzi huyu anang'olewa si mda hicho cheo.
 
Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
 
Mtu mjinga kama wewe hata kama upo unashika virungu basi wewe hata ukopro hujafikia ndio maana unaagizwa ukabwekee watanzania wenzako. Ilihali wanaokuagiza wapo nanyota mabegani, nahata huko kwenye Menu zenu hamruhusiwi kula pamoja nao maana nyie nitakataka, kazi yenu nikulala nje ,huku wanaume kila weekend wanaenda kuona familia zao, nyie mnaishia kupanda daladala au bodaboda au wengine mnapanda baskeli kabisa na combat zenu zilizochoka.

Huku mabwana zenu wakiwa hawaruhusiwi kupanda daladala na uniform zao, maana wao wanaheshimika nahata nahao wanasiasa lkn sio nyie ambao nitakataka mnapokea mishahara isiyozidi laki 8.

Nyie nimbwa mtu,maana mmejaa madeni , nakazivyenu nikuvuta bangi nakunywa pombe kali ilimjiliwaze na umasikini wenu. By the way mimi ndio huwa namsukuma mama ako na pipe kwenye njia anayotolea kinyesi. Kwakulugha nyingine mimi ndio jirani yake namzee ambae nasababisha mzee wakovabwekewe maana msukuma vzr bimkubwa wako.
Virungu na ky
 
Aliyezima mitandao alikuwa anaficha CHADEMA wasilete kura za udanganyifu. Nikimuona kiongozi wa CCM kanisani anatubu siwezi kushangaa maana nafsi zitawasuta sana kuhusu vitendo walivyofanya. Hivi watu wazima mnaweza kuwa mnajadili mambo aliyotamka mtu wa propaganda
Mitandao imezimwa? Au anga la Tanzania limedhibitiwa?
 
Mkuu, Tulia Yukio Mbeya Huko. Mkuu kosa serious kama hilo na hasa liwahusu wapinzani, eti lisubiri bado huenda wanalifanyia uchunguzi. Hiyo inteligesia itakuwa imelala usingizi mnono.
We ulitaka iweje?
 
Wakazikamata wao na zina yule kichaa mwenye kidevu box pole pole ndoa yako na jiwe lini kuna michango huku
 
CHADEMA walitoa wapi mihuli yamoto inayopatikana NEC? Na kama ni kweli kwa nini waliokamatwa polisi haikuwachukulia hatua hata kama ni CHADEMA wenyewe, na je kwa nini mwenyekiti wa tume alisema hakuna kura fake zilizokamtwa?

Tukutane kesho tarehe 2 barabarani, hii ni nchi yetu sote, nawala si ya CCM peke yao.
Mnaambiwa kwanini hamkuziweka kama ushahidi badala yake mkazichoma moto?
 
Back
Top Bottom