Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Upinzani ujipange 2025...Hii ya wananchi kuwapa punziko la aina yake sawa na kujiangalia kwenye kioo alafu ushtuke kuiona sura yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anayeingia barabarani.Mhuri wa Moto?! Hata wa ikulu unapatikana...kuhusu kuingia barabarani hizo ni story tu hakuna wa kuingia road,tupumzishane tafadhali acheni mshindi afanye kazi.
Na uchaguzi hawaujui ulighalimu kiasi gani na zilipatikana vipi!Zaidi ya matusi, hakuna hata mmoja aliyejibu hoja za chakubanga.
Mitaani au mitandaoni?Jamaa angejua huku mitaani wanavyomchukulia angekuwa ananyamazaga tu
Amani iwe nanyi
Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!
Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?
Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
😁😁😁😂😂😂Kwa hili polepole kateleza vibaya
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.Amani iwe nanyi
Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!
Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?
Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Virungu na kyMtu mjinga kama wewe hata kama upo unashika virungu basi wewe hata ukopro hujafikia ndio maana unaagizwa ukabwekee watanzania wenzako. Ilihali wanaokuagiza wapo nanyota mabegani, nahata huko kwenye Menu zenu hamruhusiwi kula pamoja nao maana nyie nitakataka, kazi yenu nikulala nje ,huku wanaume kila weekend wanaenda kuona familia zao, nyie mnaishia kupanda daladala au bodaboda au wengine mnapanda baskeli kabisa na combat zenu zilizochoka.
Huku mabwana zenu wakiwa hawaruhusiwi kupanda daladala na uniform zao, maana wao wanaheshimika nahata nahao wanasiasa lkn sio nyie ambao nitakataka mnapokea mishahara isiyozidi laki 8.
Nyie nimbwa mtu,maana mmejaa madeni , nakazivyenu nikuvuta bangi nakunywa pombe kali ilimjiliwaze na umasikini wenu. By the way mimi ndio huwa namsukuma mama ako na pipe kwenye njia anayotolea kinyesi. Kwakulugha nyingine mimi ndio jirani yake namzee ambae nasababisha mzee wakovabwekewe maana msukuma vzr bimkubwa wako.
Mitandao imezimwa? Au anga la Tanzania limedhibitiwa?Aliyezima mitandao alikuwa anaficha CHADEMA wasilete kura za udanganyifu. Nikimuona kiongozi wa CCM kanisani anatubu siwezi kushangaa maana nafsi zitawasuta sana kuhusu vitendo walivyofanya. Hivi watu wazima mnaweza kuwa mnajadili mambo aliyotamka mtu wa propaganda
Sasa hapo umejibu hoja yake au?Chakubanga anaropoka tu.
We ulitaka iweje?Mkuu, Tulia Yukio Mbeya Huko. Mkuu kosa serious kama hilo na hasa liwahusu wapinzani, eti lisubiri bado huenda wanalifanyia uchunguzi. Hiyo inteligesia itakuwa imelala usingizi mnono.
Kuna watu wanajua kujidhaulisha. Mimi ningekuwa Polepole ningenyamaza kimya kuhusu kura feki!Chakubanga anaropoka tu.
Kwa mtu taahira ndivyo inavyoonekana.Lakini maneno yake kama vile kweli
Mnaambiwa kwanini hamkuziweka kama ushahidi badala yake mkazichoma moto?CHADEMA walitoa wapi mihuli yamoto inayopatikana NEC? Na kama ni kweli kwa nini waliokamatwa polisi haikuwachukulia hatua hata kama ni CHADEMA wenyewe, na je kwa nini mwenyekiti wa tume alisema hakuna kura fake zilizokamtwa?
Tukutane kesho tarehe 2 barabarani, hii ni nchi yetu sote, nawala si ya CCM peke yao.
Pole sana aseee. Maisha ndivyo yalivyoNgoja nikuambie kitu bwana mdogo.
Ni wapumbavu na matahira kama wewe ambao wanaweza kukubaliana na huu upumbavu wa CCM.
Ukiona hivyo dozi imemuingia. Husihofu mkuuSawa, Mungu akubariki.