Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Your browser is not able to display this video.

Upinzani ujipange 2025...Hii ya wananchi kuwapa punziko la aina yake sawa na kujiangalia kwenye kioo alafu ushtuke kuiona sura yako.
 
Mhuri wa Moto?! Hata wa ikulu unapatikana...kuhusu kuingia barabarani hizo ni story tu hakuna wa kuingia road,tupumzishane tafadhali acheni mshindi afanye kazi.
Hakuna anayeingia barabarani.
Arusha na Moshi wameichinja Chadema na wakachekelea kwa raha zao.
 
Asee Tz
Kama political science tunaiweza
Maswali magumu kwa majibu mepesi[emoji34][emoji34]
 


Hao ndio waliopitishwa kwa nguvu na chama na wakapewa ushindi wa mezani licha ya kukataliwa na hata ccm wenzao! Banana Republic
 
Huyu amekuwa mfano mzuri ya matapeli wazuri kupitia majukwaa ya siasa. Alitapeli watu kipindi cha katiba mpya na sasa anatapeli kipindi cha awamu ya 5
 
Kwa hili polepole kateleza vibaya
😁😁😁😂😂😂

Mungu huwaumbua mahasimu wa haki bila hata wao kujua.

Watanzania wengi hawakuamini hili...ila yeye kawaaminisha.

Mpuuzi huyu anang'olewa si mda hicho cheo.
 
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
 
Virungu na ky
 
Mitandao imezimwa? Au anga la Tanzania limedhibitiwa?
 
Mkuu, Tulia Yukio Mbeya Huko. Mkuu kosa serious kama hilo na hasa liwahusu wapinzani, eti lisubiri bado huenda wanalifanyia uchunguzi. Hiyo inteligesia itakuwa imelala usingizi mnono.
We ulitaka iweje?
 
Wakazikamata wao na zina yule kichaa mwenye kidevu box pole pole ndoa yako na jiwe lini kuna michango huku
 
Mnaambiwa kwanini hamkuziweka kama ushahidi badala yake mkazichoma moto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…