Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Pelekeni ushahidi polisi
 
Sema hawatashinda dola siyo CCM ambayo ilishajifia baada kikwete hakuna CCM hapo kuna vyombo vya dola ndo vinavyowatunishia misuli wapinzani badala ya CCM
Alafu wabunge na madiwani wa chadema wanaenda kuunga mkono juhudi za ccm iliyojifia??
 
Boss
Alisema Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha. Naona Pole Pole Anawasha Torch Yenye Gunzi
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji2]
Kweli kabisa
 
Kwenye matukio yote polisi walikuwepo lakini hawakuchukua hatua.
 
Kwenye matukio yote polisi walikuwepo lakini hawakuchukua hatua.
Hiki Wakati Ule HakiElimu Wapo Kwenye Fire Kwa Matangazo Walileta Lile
Janjajanja Primary School
Imefaurisha Wanafunzi Wote Darasa La Saba
Kufika Secondary Wote Hawajui Kusoma Na Kuandika
😀😁😂😅😄😄😃
 
Kama upinzani uta acha kujitathmini na kuamini walishindwa kwa kuibiwa kura kamwe hawata weza kuishinda CCM. Ata leo hii uchaguzi ukirudiwa Upinzani hauwezi kupata Viti zaidi ya Vitano, upinzani ni dhaifu sana.
Wajuba fanyeni fasta Niko buguruni mie nishafika
 
slow slow anatetea tumbo lake na jamaa slow slow anatetea tumbo lake na jamaa zake
 
Nimeshapewa Cheti Changu Na NEC
Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha
Mwl nyerere adingeandamana Leo tusingemuita baba wa taifa!
Tupo hapa SAA mbili na dakika tano tunaanza safar wengine tutakutana nao mbele kwa mbele!
 
Hiyo ni Jinai kwa nini msiwakamate sasa
 
Mwl nyerere adingeandamana Leo tusingemuita baba wa taifa!
Tupo hapa SAA mbili na dakika tano tunaanza safar wengine tutakutana nao mbele kwa mbele!
Haa😁😂
 
Nia ni kuvuruga uchaguzi na kudanganya wananchi kuwa Ccm imeiba. Ndio maana mliweka tick kwa wagombea wa Ccm.
Hahahahahahahahaahahaha
Shame on you
Hata Nyerere asingekuwa mwanachama wa CCM hii ya leo
Mumefedheheka kila mkikanusha mnazidi kujishusha
You have loss legitimacy to rule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…