JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,511
Na kwanini nyingine walizichoma?Hujui kuwa karatasi zingine za kura zilikabidhiwa kwa Polisi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwanini nyingine walizichoma?Hujui kuwa karatasi zingine za kura zilikabidhiwa kwa Polisi?
Kwa hiyo ushahidi uko wapi si zilikuwa zi mesh akamatwa zingeingizwaje? Haya mahaba haya?Zilichomwa ili zisiingizwe kwenye maboksi ya kura.Aache upuuzi
Pelekeni ushahidi polisiKwa hiyo mkuu intelligensia anayotamba nayo kamanda Siro imeshindwa kubaini hilo mpaka lilipo ibuliwa na chadema? Upumbavu ukizidi wananchi mnatukera kweli kweli. Ingekuwa kughushi kumefanywa na wapinzani, hapo ndio ccm, Jeshi la police lingeshikilia bango na kucheza ngoma, maana wangepata sababu ya kuwaweka jela viongozi wa upinzani. Lakini Kwa vile kughushi kunaihusu ccm swale linaachwa chini ya zulia.
Alafu wabunge na madiwani wa chadema wanaenda kuunga mkono juhudi za ccm iliyojifia??Sema hawatashinda dola siyo CCM ambayo ilishajifia baada kikwete hakuna CCM hapo kuna vyombo vya dola ndo vinavyowatunishia misuli wapinzani badala ya CCM
BossChakubanga anaropoka tu.
Hiki Wakati Ule HakiElimu Wapo Kwenye Fire Kwa Matangazo Walileta LileKwenye matukio yote polisi walikuwepo lakini hawakuchukua hatua.
Wajuba fanyeni fasta Niko buguruni mie nishafikaKama upinzani uta acha kujitathmini na kuamini walishindwa kwa kuibiwa kura kamwe hawata weza kuishinda CCM. Ata leo hii uchaguzi ukirudiwa Upinzani hauwezi kupata Viti zaidi ya Vitano, upinzani ni dhaifu sana.
Nimeshapewa Cheti Changu Na NECWajuba fanyeni fasta Niko Buguruni mie nishafika
slow slow anatetea tumbo lake na jamaa zakeAmani iwe nanyi
Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!
Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?
Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Mwl nyerere adingeandamana Leo tusingemuita baba wa taifa!Nimeshapewa Cheti Changu Na NEC
Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha
Hiyo ni Jinai kwa nini msiwakamate sasaAmani iwe nanyi
Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!
Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?
Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Haa😁😂Mwl nyerere adingeandamana Leo tusingemuita baba wa taifa!
Tupo hapa SAA mbili na dakika tano tunaanza safar wengine tutakutana nao mbele kwa mbele!
HahahahahahahahaahahahaNia ni kuvuruga uchaguzi na kudanganya wananchi kuwa Ccm imeiba. Ndio maana mliweka tick kwa wagombea wa Ccm.