Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Na ninyi mmechukua hatua gani baada ya kujua Chadema wamefanya uhalifu huo?! Au hapa mtandaoni ndio mahakamani!
 
Mwl nyerere adingeandamana Leo tusingemuita baba wa taifa!
Tupo hapa SAA mbili na dakika tano tunaanza safar wengine tutakutana nao mbele kwa mbele!
Sasa hivi saa tatu
 
Huyu jamaa amechanganyikiwa sio bure, kama huyu na Bashiru ndio washauri wa Meko [emoji23][emoji23][emoji23]
Meko hawezi kupona
 
Polepole kama analazimisha watu watu wamchukulie hatua mikononi mwao.
 
Huyu jamaa amechanganyikiwa sio bure, kama huyu na Bashiru ndio washauri wa Meko [emoji23][emoji23][emoji23]
Meko hawezi kupona
Unamwelewaje muangushwa Konyagi na kusingizia wasiojulikana?
 
Chama chenye wanasheria wabobezi wanakamata kura feki wanachoma Moto😂😂😂 hawataki ushahidi, inaitaji akili ndogo sana kuamini maneno ya polepole
 

 
Anamaanisha kuwa wapinzani walichapisha kura fake ili CCM wazitumie kuwashinda au ni kweli anamaanisha kuwa wapinzani walichapisha kura fake ili waharibu uchaguzi halafu serekali wakashindwa kuwakamata kabla hawajaharibu uchaguzi kama walivyomkamata Mbowe na wenzake kuzuia wasiandamane?.
 
Chama cha Mbowe na kabwe uchaguzi huu wamekuja na style ya kujipiga mitama tumewashtukia, wamejiteka, wameuana, na wametengeneza kura feki, tumewashtukia.
 
Chama cha Mbowe na kabwe uchaguzi huu wamekuja na style ya kujipiga mitama tumewashtukia, wamejiteka, wameuana, na wametengeneza kura feki, tumewashtukia.
Hadi wakaangushwa na konyagi na kusingizia wasiojulikana
 
Walizikamata wenyewe na kuzichoma moto wenyewe
 
Ule ulikuwa ni mchezo tu walitaka kutucheza watanzania tukawastukia sasa hvi wako nyuma ya nondo wajinga wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…