Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Silaha ya mwanadamu ni fikra na katika historia ya maendeleo ni fikra mpya ndio zilizofikisha wanadamu tulipo leo katika kuelezea maendeleo yetu.
Majuzi tumepeleka ‘James Webb’ telescope zaidi ya mile million 100 na sayari yetu ilipo na scientific reasoning ya hali ya juu ilitumika ili kuweza kufanya hilo zoezi.
Miujiza yenyewe hiyo telescope ikifika destination yake kuna gravitational targets za kuiweka sawa binadamu ndio waliopiga hizo hesabu based astrophysics reasons.
Maana yake nini sisi wanadamu tuna uwezo mkubwa sana wakufikiri tukiamua.
Uhalisia kuna jamii zimetuzidi sio kwenye sayansi za mbingu, bali ata sayansi rahisi kama za siasa.
Polepole yupo right, hii nchi kuna watu wanajiona wana hati miliki (wahuni) they need to be stopped.
Kataa wahuni
Mama Samia sio muhuni; ila kazungukwa na timu ya wahuni.
Vita ya Polepole ni vita ya vijana wote wazalendo.