Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Tabia za mpambanaji manafiki daima huwa ni pamoja na kua mwoga, mfitini, muongo na mzandiki. Na mara zote nia yake hua ni uchochezi na dhamira yake ovu hua ni migawanyiko.
Ni jambo la maana sana waTanzania wamempuuza katika umoja wao na wamebaki wamoja. Maoni, mtazamo na mawazo yake kwa jamii anayoihadaa hua ni upotoshaji mtupu, na ndio maana hujieleza akiwa mahali pa siri tena mafichoni ingawa hakuna mwenye haja nae.
Wafuasi watu wa nafiki wa aina ya polepole ambao hua wanaopoteza muda kumsikiliza na kuamini uropokaji na upotosjaji wake, daima hua ni wale waliopoteza uelekeo hususani wa kisiasa na wale ambao hawana wajibu wowote wa maana wa wakufanya na kujiongezea kipato, kwasababu kwa akili ya kawaida tu, hayupo mtu mzima timamu mwenye wajibu wa kufanya, eti ababaike au kuhangaika na upotoshaji wa kinafiki wa huyo muungwana.
Nadhani historia yake ya kikatili na yenye mashaka makubwa kwenye utumishi wa umma ndani ya chama na serikali, inamuhukumu mwenyewe, inamsuta na kumnyima uhalali wa kiuadilifu wa kuskilizwa, kuaminika au kuheshimika miongoni mwa mambo anayoropoka daily.
Kiburi, majivuno, ubinafsi, usaliti na kukosa utii kwa mamalaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu, zinafanya msukule huo ulioko mafichoni kupuuzwa zaidi na kuchokwa na jamii hususani ile iliyopoteza uelekeo wa kisiasa nchini.
Hamprey Polepole hana athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumu nchini, hususani wakati huu nchi yetu ya amani ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria oct.29,2025, huku Dr.Samia Suluhu Hassana akitarajiwa kushinda kwa kishindo uchaguzi huo muhimu katika historia ya Taifa letu.
Asanteni sana wananchi woote kwa kuendelea kumpuuza mpotoshaji, msaliti, manfiki na mropokaji Hamphrey Polepole mpweke.
Kazia na utu, tusonge mbele pamoja.
Mungu Ibariki Tanzania