Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

Vinyeo vya CCM vinajisahau sana ukimfatilia huyu Tlaatlaah mara ulikuja na kauli za kudefend sasa leo unaona kidole cha pole pole kina kuingia polepole kwenye kinyeo na safati hii CCM watakutoa puri.
jikite kwenye hoja kwa heshma gentleman,
huana haja ya kuropoka na kuwavunjia heshima viongozi na wadau wa JF.

KAA KIMYA IKIWA UKO POINTLESS:NoGodNo:
 
jikite kwenye hoja kwa heshma gentleman,
huana haja ya kuropoka na kuwavunjia heshima viongozi na wadau wa JF.

KAA KIMYA IKIWA UKO POINTLESS:NoGodNo:
Kinyeo cha ccm ofisi ya JF
 
Akifanya press internet inakuwa blocked kwa application zinazostream hiyo press bado unasema hana athari?Wapambe wa mama Abdul akili zenu mnazijua wenyewe
 
Hajapuuzwa. Na ndo maana tunahangaika kuzuia mtandao n.k mimi nmetumiwa audio zake nikiwa huku ughaibuni na watu zaidi ya 14 ambao kati yao 9 ni CCM hasa. Ile ya Nyerere. Watu wanamfuatilia nasi tutapambana kuzuia asiendelee kuongea. Anaharibu sana upande wetu.
nashauri uungane na mamailioni ya waTanzania ambo wamekataa kupoteza muda kumsikza huyo msukule asie na athari zozote ndani ya ccm na nchi yetu.

ni jambo la kusikitisha sana mtu mzima timamu wa heshima, mwenye wajibu wa kuwajibika na shughuli za kujipatia kipato, akakubali kupata hasara kwa kubebwa ufala kifikra eti aache kazi amskize huyu mpotoshaji? realy?

thats very wrong,
kwanza mtu mwenyewe kajificha, sasa atakusaidia nini ili ukafanye wapi?:NoGodNo:
 
Akifanya press internet inakuwa blocked kwa application zinazostream hiyo press bado unasema hana athari?Wapambe wa mama Abdul akili zenu mnazijua wenyewe
kwasababu ni upotoshaji mtupu,
sia arikodi tu hata kwa simu kisha aiweke hicho alichosema mtandaoni.

mbona rahisi tu gentleman lakini mnawewesekaaaaaa:NoGodNo:
 
uoga wako ndio umaskini wako ndugu wachoma vitenge wa BAWACHA,
lakini pia,
kua maskini au tajiri Tanzania ni uamuzi wa mtu.

nakuhurumia na kukusikitikia kuchagua kua mvivu na kuendekeza ramli, ushirikina na upotoshaji wa polepole.

hata hivyo,
nashukuru umeanza kumpuuza sasa,
utapokea muujiza wako soon,
Mungu Akubarika :NoGodNo:
Shetani mkubwa wewe
 
Tabia za mpambanaji manafiki daima huwa ni pamoja na kua mwoga, mfitini, muongo na mzandiki. Na mara zote nia yake hua ni uchochezi na dhamira yake ovu hua ni migawanyiko.

Ni jambo la maana sana waTanzania wamempuuza katika umoja wao na wamebaki wamoja. Maoni, mtazamo na mawazo yake kwa jamii anayoihadaa hua ni upotoshaji mtupu, na ndio maana hujieleza akiwa mahali pa siri tena mafichoni ingawa hakuna mwenye haja nae.

Wafuasi watu wa nafiki wa aina ya polepole ambao hua wanaopoteza muda kumsikiliza na kuamini uropokaji na upotosjaji wake, daima hua ni wale waliopoteza uelekeo hususani wa kisiasa na wale ambao hawana wajibu wowote wa maana wa wakufanya na kujiongezea kipato, kwasababu kwa akili ya kawaida tu, hayupo mtu mzima timamu mwenye wajibu wa kufanya, eti ababaike au kuhangaika na upotoshaji wa kinafiki wa huyo muungwana.

Nadhani historia yake ya kikatili na yenye mashaka makubwa kwenye utumishi wa umma ndani ya chama na serikali, inamuhukumu mwenyewe, inamsuta na kumnyima uhalali wa kiuadilifu wa kuskilizwa, kuaminika au kuheshimika miongoni mwa mambo anayoropoka daily.

Kiburi, majivuno, ubinafsi, usaliti na kukosa utii kwa mamalaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu, zinafanya msukule huo ulioko mafichoni kupuuzwa zaidi na kuchokwa na jamii hususani ile iliyopoteza uelekeo wa kisiasa nchini.

Hamprey Polepole hana athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumu nchini, hususani wakati huu nchi yetu ya amani ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria oct.29,2025, huku Dr.Samia Suluhu Hassana akitarajiwa kushinda kwa kishindo uchaguzi huo muhimu katika historia ya Taifa letu.

Asanteni sana wananchi woote kwa kuendelea kumpuuza mpotoshaji, msaliti, manfiki na mropokaji Hamphrey Polepole mpweke.
Kazia na utu, tusonge mbele pamoja. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Km hana athari mnahangaika nn huku kutwa kumuongelea?

Hii inaonyesha athari ipo Tena kubwa ,na soon utaiona athari deep down unajua kabisa athari ipo Tena soon Inaenda kuonekana
 
Km hana athari mnahangaika nn huku kutwa kumuongelea?

Hii inaonyesha athari ipo Tena kubwa ,na soon utaiona athari deep down unajua kabisa athari ipo Tena soon Inaenda kuonekana
In fact mimi ni mdau mwaminifu wa jf na ninaewapenda mno wadau wa JF,

nisingependa wadau zaid wa JF wabebWe ufala wa kifikra na huYo msukule mpotoshaji, badala yake wajikite kwenye shughuli zao za kujiongezea kipato.

in fac,
ni hasara kupoteza muda na wakati kuskiliza upotoshaji usio na maana au athari yoyote kutoka kwa huo msukule:NoGodNo:
 
huana haja ya kusoma zaidi gentleman,
kwa niaba ya taifa zima,
pokea shukrani zangu kwa niaba ya waTanzania wazalendo mamilioni kwa kupuuza upotoshaji wa mpamabanaji mnafiki polepole.

wapambanajia wa akina mpina, akina malisa, akina mbowe n.k wanapambana bila kificho gentleman.
huna haja ya kubabaika wala kuwewseka kujaribu kujifanya ati huoni ama hujui ukweli huu :NoGodNo:
Sheikh achana na hao uliowataja na yale wanayo ongea, tofautisha kabisa hizo mambo, hebu nieleweshe kwa uvuli anayoongea slowx2 na hao wengine yapi yanamgusa na kupunguza kwenye criticism?
 
Sheikh achana na hao uliowataja na yale wanayo ongea, tofautisha kabisa hizo mambo, hebu nieleweshe kwa uvuli anayoongea slowx2 na hao wengine yapi yanamgusa na kupunguza kwenye criticism?
that will be the story for other day gentleman,
ni muhimu kujikita kwenye hoja mahususi mezani bila kujaribu kupindisha kisayansi.

muungwana ni virus, anastahili kupuuzwa tu :NoGodNo:
 

Attachments

  • Screenshot_20250821-122927.jpg
    Screenshot_20250821-122927.jpg
    509.2 KB · Views: 23
Back
Top Bottom