Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

Ni kweli uyasemayo ndugu chawa.

CCM dude kubwa sana mna wanachama wengi na ni chama tajiri mno na wananchi wana wapenda sana.

Sasa fanyeni reform za katiba na tume huru halafu uchaguzi uwe huru na haki wakuu ,mbona mnaogopa wazee shida iko wapi na ninyi ni chama pendwa?
 
Yaani mnaanza tena kutisha watu jameni? Yale tunayoyakataa ndio mnazidi kupanga kuyafanya? Hili gari liko liko speed 120 kulisimamisha ghafla haiwezekani.

Tuvumiliane tu, tunaumia lakini humo humo tunaponak
 
Mbona machawa mnawasikiliza
Na wakiongea uongo mwingi
Na wanaosema ukweli mnataka mmwapuuzie
 
Hizi "ad hominem logical fallacy" zenu mnapoteza nazo muda humu JF... Wale mliowapa Baiskeli hawana account humu..
 
Kushindana na mtu ambaye hana serikali Wala bunduki...inatakiwa uwe makini, maana yeye nguzo kubwa kwake ni akili yake kichwani...anatumia sana akili kuliko wewe unayetumia siraha na jeshi😄
 
nashauri uungane na mamailioni ya waTanzania ambo wamekataa kupoteza muda kumsikza huyo msukule asie na athari zozote ndani ya ccm na nchi yetu.

ni jambo la kusikitisha sana mtu mzima timamu wa heshima, mwenye wajibu wa kuwajibika na shughuli za kujipatia kipato, akakubali kupata hasara kwa kubebwa ufala kifikra eti aache kazi amskize huyu mpotoshaji? realy?

thats very wrong,
kwanza mtu mwenyewe kajificha, sasa atakusaidia nini ili ukafanye wapi?:NoGodNo:

Anapotosha nini? Polepole ana hoja SEMA HOJA ZAKE NI NGUMU KUZIJIBU NA ZINATAKA AKILI
 
Kushindana na mtu ambaye hana serikali Wala bunduki...inatakiwa uwe makini, maana yeye nguzo kubwa kwake ni akili yake kichwani...anatumia sana akili kuliko wewe unayetumia siraha na jeshi😄
kwahiyo huo msukule una akili gentleman?🤣
 
Anapotosha nini? Polepole ana hoja SEMA HOJA ZAKE NI NGUMU KUZIJIBU NA ZINATAKA AKILI
kila anacho kueleza na kukubeba ufala kifikra ni upotoshaji mtupu,

nawe ulivyo na akili nyepesi unabugia tu matango pori anayokulisha 🐒
 
Tena mnasababisha hata sisi tunaosoma PhD kwa YouTube tupate shida kisa tu mnaogopa maneno ya pole pole
upo online JF kisha unalalamikia internet

surely?
umesoma kweli hata certificate tu wewe gentleman?🐒
 
Tabia za mpambanaji manafiki daima huwa ni pamoja na kua mwoga, mfitini, muongo na mzandiki. Na mara zote nia yake hua ni uchochezi na dhamira yake ovu hua ni migawanyiko.

Ni jambo la maana sana waTanzania wamempuuza katika umoja wao na wamebaki wamoja. Maoni, mtazamo na mawazo yake kwa jamii anayoihadaa hua ni upotoshaji mtupu, na ndio maana hujieleza akiwa mahali pa siri tena mafichoni ingawa hakuna mwenye haja nae.

Wafuasi watu wa nafiki wa aina ya polepole ambao hua wanaopoteza muda kumsikiliza na kuamini uropokaji na upotosjaji wake, daima hua ni wale waliopoteza uelekeo hususani wa kisiasa na wale ambao hawana wajibu wowote wa maana wa wakufanya na kujiongezea kipato, kwasababu kwa akili ya kawaida tu, hayupo mtu mzima timamu mwenye wajibu wa kufanya, eti ababaike au kuhangaika na upotoshaji wa kinafiki wa huyo muungwana.

Nadhani historia yake ya kikatili na yenye mashaka makubwa kwenye utumishi wa umma ndani ya chama na serikali, inamuhukumu mwenyewe, inamsuta na kumnyima uhalali wa kiuadilifu wa kuskilizwa, kuaminika au kuheshimika miongoni mwa mambo anayoropoka daily.

Kiburi, majivuno, ubinafsi, usaliti na kukosa utii kwa mamalaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu, zinafanya msukule huo ulioko mafichoni kupuuzwa zaidi na kuchokwa na jamii hususani ile iliyopoteza uelekeo wa kisiasa nchini.

Hamprey Polepole hana athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumu nchini, hususani wakati huu nchi yetu ya amani ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria oct.29,2025, huku Dr.Samia Suluhu Hassana akitarajiwa kushinda kwa kishindo uchaguzi huo muhimu katika historia ya Taifa letu.

Asanteni sana wananchi woote kwa kuendelea kumpuuza mpotoshaji, msaliti, manfiki na mropokaji Hamphrey Polepole mpweke.
Kazia na utu, tusonge mbele pamoja. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Unaowapigania wanakosausingizi,wakati wewe unalala unakoromawenyewe wamefika mahali hawakuelewi!
 
Back
Top Bottom