Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

Unaowapigania wanakosausingizi,wakati wewe unalala unakoromawenyewe wamefika mahali hawakuelewi!
Gentleman,
utajielewa tu endapo utaendelea kumpuuza na kujitenga na kubebwa ufala wa kifikra na matapeli wa kisiasa kama polepole šŸ’
 
Yaani mnaanza tena kutisha watu jameni? Yale tunayoyakataa ndio mnazidi kupanga kuyafanya? Hili gari liko liko speed 120 kulisimamisha ghafla haiwezekani.

Tuvumiliane tu, tunaumia lakini humo humo tunaponak
spidi ya utapeli, uropokaji na upotoshaji, right?

na polepole ni muongo balaa šŸ’
 
Gentleman,
utajielewa tu endapo utaendelea kumpuuza na kujitenga na kubebwa ufala wa kifikra na matapeli wa kisiasa kama polepole šŸ’
Nyie mnaowachuuza wanaopigwa mawe na akina slow slow vibarua vyenu vitaota nyasi soon,kwani kwani mmekuwa sababu zawao kupigwa mawa kwa ajili ya maneno na ushauri wenu kwao!
 
Ni kweli uyasemayo ndugu chawa.

CCM dude kubwa sana mna wanachama wengi na ni chama tajiri mno na wananchi wana wapenda sana.

Sasa fanyeni reform za katiba na tume huru halafu uchaguzi uwe huru na haki wakuu ,mbona mnaogopa wazee shida iko wapi na ninyi ni chama pendwa?
uchaguz wa Tanazania ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa mujibu wa reforms.

Kumbuka,
uchaguz mkuu wa kihistoria Tanzania, mwaka huu utafanyika October 29,2015.

Mwambie na mwingine šŸ’
 
upo online JF kisha unalalamikia internet

surely?
umesoma kweli hata certificate tu wewe gentleman?šŸ’


Ngoja saa mbili ifike hahaha no YouTube no anything

Wanamtandao wananguvu sana
 
Haya mazombie ndio ya kuignore, šŸ—‘ 🚮 basi tu inabidi tupishane nayo humu
 
Ni jambo la maana sana waTanzania wamempuuza katika umoja wao na wamebaki wamoja.
Wewe na wanaokutuma ndo mnapuuzwa, siyo Polepole..

Maoni, mtazamo na mawazo yake kwa jamii anayoihadaa hua ni upotoshaji mtupu, na ndio maana hujieleza akiwa mahali pa siri tena mafichoni ingawa hakuna mwenye haja nae.
Unataka atoke mafichoni wewe na genge lako mkamteke chap chap, au?
 
huana haja ya kusoma zaidi gentleman,
kwa niaba ya taifa zima,
pokea shukrani zangu kwa niaba ya waTanzania wazalendo mamilioni kwa kupuuza upotoshaji wa mpamabanaji mnafiki polepole.

wapambanajia wa akina mpina, akina malisa, akina mbowe n.k wanapambana bila kificho gentleman.
huna haja ya kubabaika wala kuwewseka kujaribu kujifanya ati huoni ama hujui ukweli huu :NoGodNo:
Naam Polepole ni mnafiki lkn wewe et- al, ni waandamizi.
Kwa CCM Mbowe ni gaidi alikaa ndani karibu mwaka, huyo Mpina kwa kujibu wa CCM ni mbunge wa taifa, hafai kuwa mbunge wa jimbo!.........yule mpe huyu mruke, yule arejee na kutupwa porini, huyu apotezwe kabisa.......
 
......Ninakubaliana na wewe ila swali kwa nini UNAPOTEZA MUDA KUANDIKA yote haya kama HANA IMPCT

Tabia za mpambanaji manafiki daima huwa ni pamoja na kua mwoga, mfitini, muongo na mzandiki. Na mara zote nia yake hua ni uchochezi na dhamira yake ovu hua ni migawanyiko.

Ni jambo la maana sana waTanzania wamempuuza katika umoja wao na wamebaki wamoja. Maoni, mtazamo na mawazo yake kwa jamii anayoihadaa hua ni upotoshaji mtupu, na ndio maana hujieleza akiwa mahali pa siri tena mafichoni ingawa hakuna mwenye haja nae.

Wafuasi watu wa nafiki wa aina ya polepole ambao hua wanaopoteza muda kumsikiliza na kuamini uropokaji na upotosjaji wake, daima hua ni wale waliopoteza uelekeo hususani wa kisiasa na wale ambao hawana wajibu wowote wa maana wa wakufanya na kujiongezea kipato, kwasababu kwa akili ya kawaida tu, hayupo mtu mzima timamu mwenye wajibu wa kufanya, eti ababaike au kuhangaika na upotoshaji wa kinafiki wa huyo muungwana.

Nadhani historia yake ya kikatili na yenye mashaka makubwa kwenye utumishi wa umma ndani ya chama na serikali, inamuhukumu mwenyewe, inamsuta na kumnyima uhalali wa kiuadilifu wa kuskilizwa, kuaminika au kuheshimika miongoni mwa mambo anayoropoka daily.

Kiburi, majivuno, ubinafsi, usaliti na kukosa utii kwa mamalaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu, zinafanya msukule huo ulioko mafichoni kupuuzwa zaidi na kuchokwa na jamii hususani ile iliyopoteza uelekeo wa kisiasa nchini.

Hamprey Polepole hana athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumu nchini, hususani wakati huu nchi yetu ya amani ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria oct.29,2025, huku Dr.Samia Suluhu Hassana akitarajiwa kushinda kwa kishindo uchaguzi huo muhimu katika historia ya Taifa letu.

Asanteni sana wananchi woote kwa kuendelea kumpuuza mpotoshaji, msaliti, manfiki na mropokaji Hamphrey Polepole mpweke.
Kazia na utu, tusonge mbele pamoja. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
 
......Ninakubaliana na wewe ila swali kwa nini UNAPOTEZA MUDA KUANDIKA yote haya kama HANA IMPCT
Gentleman,
najaribu kueleza ukweli kwa kina, ili kuwanusuru msibebwe ufala wa kifikra na huyo msukule. Full stop.šŸ’
 
Naam Polepole ni mnafiki lkn wewe et- al, ni waandamizi.
Kwa CCM Mbowe ni gaidi alikaa ndani karibu mwaka, huyo Mpina kwa kujibu wa CCM ni mbunge wa taifa, hafai kuwa mbunge wa jimbo!.........yule mpe huyu mruke, yule arejee na kutupwa porini, huyu apotezwe kabisa.......
Jikiete kwenye hoja bila kujaribu kuhamisha mjadala gentleman šŸ’
 
Haya mazombie ndio ya kuignore, šŸ—‘ 🚮 basi tu inabidi tupishane nayo humu
jikiete kwenye hoja tu gentleman hayo ya kibinafsi unaweza kuyafanya bila mayowe šŸ’
 
Kuanzia saa 12 no internet
bando lako la jero litakua limeisha sio gentleman?
si angerikodi tu halafu awape video ya upotoshaji mbona anawahangaisha kisaikolojia hivyo šŸ’
 
kila anacho kueleza na kukubeba ufala kifikra ni upotoshaji mtupu,

nawe ulivyo na akili nyepesi unabugia tu matango pori anayokulisha šŸ’

Sheikh wangu nikikuuliza amepotosha nini hujibu. Unaruka ruka tu na kubwabwaja. Pole pole tunapasa mjibu kwa hoja. Siyo kuhorojoka tu kama hivi. Mpaka sasa hatujamjibu. Alijaribu Rostam akaharibu.
 
Back
Top Bottom