Unapuuzwa wewe na sio polepole.Tabia za mpambanaji manafiki daima huwa ni pamoja na kua mwoga, mfitini, muongo na mzandiki. Na mara zote nia yake hua ni uchochezi na dhamira yake ovu hua ni migawanyiko. Ni jambo la maana sana waTanzania wamempuuza katika umoja wao na wamebaki wamoja. Maoni, mtazamo na mawazo yake kwa jamii anayoihadaa hua ni upotoshaji mtupu, na ndio maana hujieleza akiwa mahali pa siri tena mafichoni ingawa hakuna mwenye haja nae.
Wafuasi watu wa nafiki wa aina ya polepole ambao hua wanaopoteza muda kumsikiliza na kuamini uropokaji na upotosjaji wake, daima hua ni wale waliopoteza uelekeo hususani wa kisiasa na wale ambao hawana wajibu wowote wa maana wa wakufanya na kujiongezea kipato, kwasababu kwa akili ya kawaida tu, hayupo mtu mzima timamu mwenye wajibu wa kufanya, eti ababaike au kuhangaika na upotoshaji wa kinafiki wa huyo muungwana.
Nadhani historia yake ya kikatili na yenye mashaka makubwa kwenye utumishi wa umma ndani ya chama na serikali, inamuhukumu mwenyewe, inamsuta na kumnyima uhalali wa kiuadilifu wa kuskilizwa, kuaminika au kuheshimika miongoni mwa mambo anayoropoka daily.
Kiburi, majivuno, ubinafsi, usaliti na kukosa utii kwa mamalaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu, zianafanya msukule huo ulioko mafichoni kupuuzwa zaidi na kuchokwa na jamii hususani ile iliyopoteza uelekeo wa kisiasa nchini.
Hamprey Polepole hana athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumu nchini, hususani wakati huu nchi yetu ya amani ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria oct.29,2025, huku Dr.Samia Suluhu Hassana akitarajiwa kushinda kwa kishindo uchaguzi huo muhimu katika historia ya Taifa letu.
Asanteni sana wananchi woote kwa kuendelea kumpuuza mpotoshaji, msaliti, manfiki na mropokaji Hamphrey Polepole mpweke.
Kazia na utu, tusonge mbele pamoja.
Mungu Ibariki Tanzania
huana haja ya kusoma zaidi gentleman,Sijasoma ila heading inatosha.
Nani kakwambia hatafutwi au kajificha?
Lakini vipi akiwa eneo huru unadhani mtamuacha?
Na vipi ikiwa atajeruhiwa au kuuwawa, mada yako itakuwaje?.
Je, wale ambao walisema pasipo kujificha, bado wapo?.
Na inaonekana unawashwa sana gentleman. Unataman sa mbili isifike, unaonekana kabisa hofu imekujaa, hebu tujuze gentleman, kulikoni kuwa na wasiwasi sana?Tabia za mpambanaji manafiki daima huwa ni pamoja na kua mwoga, mfitini, muongo na mzandiki. Na mara zote nia yake hua ni uchochezi na dhamira yake ovu hua ni migawanyiko.
Ni jambo la maana sana waTanzania wamempuuza katika umoja wao na wamebaki wamoja. Maoni, mtazamo na mawazo yake kwa jamii anayoihadaa hua ni upotoshaji mtupu, na ndio maana hujieleza akiwa mahali pa siri tena mafichoni ingawa hakuna mwenye haja nae.
Wafuasi watu wa nafiki wa aina ya polepole ambao hua wanaopoteza muda kumsikiliza na kuamini uropokaji na upotosjaji wake, daima hua ni wale waliopoteza uelekeo hususani wa kisiasa na wale ambao hawana wajibu wowote wa maana wa wakufanya na kujiongezea kipato, kwasababu kwa akili ya kawaida tu, hayupo mtu mzima timamu mwenye wajibu wa kufanya, eti ababaike au kuhangaika na upotoshaji wa kinafiki wa huyo muungwana.
Nadhani historia yake ya kikatili na yenye mashaka makubwa kwenye utumishi wa umma ndani ya chama na serikali, inamuhukumu mwenyewe, inamsuta na kumnyima uhalali wa kiuadilifu wa kuskilizwa, kuaminika au kuheshimika miongoni mwa mambo anayoropoka daily.
Kiburi, majivuno, ubinafsi, usaliti na kukosa utii kwa mamalaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu, zinafanya msukule huo ulioko mafichoni kupuuzwa zaidi na kuchokwa na jamii hususani ile iliyopoteza uelekeo wa kisiasa nchini.
Hamprey Polepole hana athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumu nchini, hususani wakati huu nchi yetu ya amani ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria oct.29,2025, huku Dr.Samia Suluhu Hassana akitarajiwa kushinda kwa kishindo uchaguzi huo muhimu katika historia ya Taifa letu.
Asanteni sana wananchi woote kwa kuendelea kumpuuza mpotoshaji, msaliti, manfiki na mropokaji Hamphrey Polepole mpweke.
Kazia na utu, tusonge mbele pamoja.
Mungu Ibariki Tanzania
nakuhurumia ewe kijana mpambanaji usie na hatia kubebwa ufala na huyo mpotoshaji,EWE MPUUZI SISI TUKO LIVE TUNASUBIRIA KWA BASHASHA NA HAMU KUBWA, MAWE YA KADA WENU SLOW SLOW!
Mali za umma zinaibwa tunaachwa na umasikini wa kutupwa na haya majangili wewe unatetea sababu upo UWTrelax ewe pepo la uropokaji!,
shindwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,
gentleman,Na inaonekana unawashwa sana gentleman. Unataman sa mbili isifike, unaonekana kabisa hofu imekujaa, hebu tujuze gentleman, kulikoni kuwa na wasiwasi sana?
Mpe kinyeo uone kama hana athari ata kivuruga uchechemeeTabia za mpambanaji manafiki daima huwa ni pamoja na kua mwoga, mfitini, muongo na mzandiki. Na mara zote nia yake hua ni uchochezi na dhamira yake ovu hua ni migawanyiko.