Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

Watu mnahemea kusikojulikana, vikao kila muda, simu wakati wote. Presha, Ukimwi, madonda ya tumbo, kisukari, vyote vimeamka kutokana na spana za Polepole dhidi ya wahuni na makuwadi wao wanaolipwa buku buku ya kununua unga robo.

Famyeni kazi halali badala ya kulamba viatu vya wezi, wauaji na wabadhirifu wa raslimali zetu.
 
Mbona wakisikia anataka kuongeza wanazima/zui network
kikao cha kamati kuu ya ccm taifa kinaendelea muda huu,

kwasababu ya mapenzi yangu kwenu wadua wote wa JF, nimeona sio vibaya nikawashukuru sana kwa kumpuuza mpotoshaji polepole, lakini pia kuendelea kufanya hivyo mpaka sasa.

kiufupi huyo msukule hana athari zozote kisiasa nchini, na kwahivyo kumsikilza ni kupoteza muda na kumuamini ni kukubali kubebwa ufala kifikra kilofa zaidi.

Asante sana kwa kumpuuza huyo msukule gentleman
 
gentleman,
wajibu wangu ni kusaidia wadau msitapeliwe na kubebwa ufala wa kifikra na huyo msukule mpotoshaji.

you will gain nothing na utapoteza muda na bandolako for nothing

asante kumpuuza
Punguza wasiwasi gentleman, naona umekua kama panyabuku ametoroka shimoni. Subiri tusikie atakayosema ndo tuamue kuyapuuza au kuyazingatia. Kwa sasa tunakupuuza wewe
 
Kuruka ruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Endeleeni kuruka ruka, tunajua ndiyo mnaiva hivyo. Mabando yetu na VPN ziko tayari mda, tayari kushuhudia ngariba akavyowatahiri bila ganzi!
 
gentleman,
wajibu wangu ni kusaidia wadau msitapeliwe na kubebwa ufala wa kifikra na huyo msukule mpotoshaji.

you will gain nothing na utapoteza muda na bandolako for nothing

asante kumpuuza
Wewe ndiye unapoteza muda. Mimi hapa nimeshauza kuku, nimenunua bando la kutosha kumsikiliza msema kweli na mtetezi wetu Ndg. Polepole. Huyu ni Nyerere na Magufuli wa pili.
 
Leo ni 21st to remember lazima Polepole aweke hadharani madudu yenu majizi ya Ccm
 
Punguza wasiwasi gentleman, naona umekua kama panyabuku ametoroka shimoni. Subiri tusikie atakayosema ndo tuamue kuyapuuza au kuyazingatia. Kwa sasa tunakupuuza wewe
Ugoro huo tayari umeshakupata. Kamasi Hilo zito na chafya ni dalili tosha. Hapuuzwi mtu hapa. Jisemee mwenyewe
 
pole sana gentleman kwa hasara ya muda na wakati unao kwenda kuupoteza for nothing,

i'm sorry to say this light truth
The light truth ni kwamba una mashaka mengi sana ndani yako. Mwambie aliyekutuma amefeli parefu
 
Mali za umma zinaibwa tunaachwa na umasikini wa kutupwa na haya majangili wewe unatetea sababu upo UWT
uoga wako ndio umaskini wako ndugu wachoma vitenge wa BAWACHA,
lakini pia,
kua maskini au tajiri Tanzania ni uamuzi wa mtu.

nakuhurumia na kukusikitikia kuchagua kua mvivu na kuendekeza ramli, ushirikina na upotoshaji wa polepole.

hata hivyo,
nashukuru umeanza kumpuuza sasa,
utapokea muujiza wako soon,
Mungu Akubarika
 
Kabisa...
Na akiongea msimzimie mtandao
Mwacheni aongee tu au siyo gentleman

Ova
 
Vinyeo vya CCM vinajisahau sana ukimfatilia huyu Tlaatlaah mara ulikuja na kauli za kudefend sasa leo unaona kidole cha pole pole kina kuingia polepole kwenye kinyeo na safati hii CCM watakutoa puri.
 
Taifa zima siku ya leo wako kwenye Simu na mitandao wazee kwa vijana
kua maskini kifikra ni mzigo mzito mno gentleman, kila moja anakubeba ufala atakavyo. Dah, inasikitisha sana

I'm sorry to say this light truth to you
 

Hajapuuzwa. Na ndo maana tunahangaika kuzuia mtandao n.k mimi nmetumiwa audio zake nikiwa huku ughaibuni na watu zaidi ya 14 ambao kati yao 9 ni CCM hasa. Ile ya Nyerere. Watu wanamfuatilia nasi tutapambana kuzuia asiendelee kuongea. Anaharibu sana upande wetu.
 
Kabisa...
Na akiongea msimzimie mtandao
Mwacheni aongee tu au siyo gentleman

Ova
gentleman,
mtu kajificha na hatafutwi,
nani ana haja nae au kubabaika nae kuhusu mtandao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…