Polepole: Harakati za kampeni za rais Samia zinaratibiwa na Abdul badala ya CCM

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!!

Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja ipo jirani na Slipway hotel, nyingine ipo Sinza, e.t.c. T-shirts, mabango n.k vinachapishwa huko na hao hao.

Na Steven Mengele...
 
Huyu sasa inabidi awe anatoa na ushahidi. Siyo kuongea maneno tu.

Walau Mange, pamoja na mapungufu yake mengi, huwa anatoa toa na ushahidi wa wa hapa na pale [hata kama ushahidi wenyewe si mzito].
 
Nahisi huyu ana ushahidi ila dizain kama anasubiri Mhusika apinge then atoe, yaani ana Uoga. Mathalan lile jengo alilosema lipo Masaki na wanawekwa vijana wanaoshinda mitandaoni kutukana watu...anasema wakibisha atadirect na Location kabisa clearly.
 
Mbona watu wanao shinda mitandaoni wakitoa matusi ni kutoka upande wa pili?
 
Nahisi huyu ana ushahidi ila dizain kama anasubiri Mhusika apinge then atoe, yaani ana Uoga. Mathalan lile jengo alilosema lipo Masaki na wanawekwa vijana wanaoshinda mitandaoni kutukana watu...anasema wakibisha atadirect na Location kabisa clearly.
Ndiyo maana Rostam Aziz amesitisha ile press yake juzi iliyoandaliwa kumjibu Polepole.
 
Huyu sasa inabidi awe anatoa na ushahidi. Siyo kuongea maneno tu.

Walau Mange, pamoja na mapungufu yake mengi, huwa anatoa toa na ushahidi wa wa hapa na pale [hata kama ushahidi wenyewe si mzito].
Bahati kwake ni kuwa wapumbavu na minyumbu ya lissu huwa hawahitaji ushahidi mkuu. Wao wanahitaji kusikia tu Samia au jk au rostam au ridhiwani au Abdul kasemwa vibaya basi; kwao hilo linatosha na wanakuja mbio mbio kushangilia na kumshambulia mtuhumiwa. Yeyote atakayejaribu kuwasanua anaweza kuambulia matusi.
Hivi hata wewe utatukanwa Sasa hivi🤣🤣🤣🤣
 
Tuanze na wewe doctor 💊
 
Back
Top Bottom