Polepole: Harakati za kampeni za rais Samia zinaratibiwa na Abdul badala ya CCM

Huyu sasa inabidi awe anatoa na ushahidi. Siyo kuongea maneno tu.

Walau Mange, pamoja na mapungufu yake mengi, huwa anatoa toa na ushahidi wa wa hapa na pale [hata kama ushahidi wenyewe si mzito].
Hata akiutoa then what? Kinachoonekana humu ni watu kufurahia maneno yake tu na si kingine.
 
Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!!

Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja ipo jirani na Slipway hotel, nyingine ipo Sinza, e.t.c. T-shirts, mabango n.k vinachapishwa huko na hao hao.

Yeye si amesema Samia ni mgombea haramu na CCM ibadili mgombea!! Mbona sasa anakuwa kama amebadili gear?? Naona kama anamkubali kwa kukosoa mwenendo wa team CCM kwenye kampeni.

Ningemuona yuko objective kama angeendelea kusimamia hoja ya kwamba CCM wabadili mgombea au uchaguzi usitishwe. Lakini anaanza tena kutoa ushauri wa kuwa na mipango bora ya kampeni?? Kwisha kazi

Hili ni debe tupu, halikosi kelele
 
Usikute pole pole ndio alikua kigogo enzi za magufuli huyu🤔🤔
 
sasa mnataka asaidiwe na nani kama ndani ya hiyo CCM wengine hamkutaka agombee?..
Hapo ni ndugu na rafiki zake wa karibu ndio wanapambana.

Hata JK 2010 familia yake na watu wake wa karibu ndio walimpigania, na harakati za misikitini ndio zilimsaidia, Prop Lipumba alifanya kazi kubwa sana.
Hiyo yote ilisababishwa na maswaiba zake kumtelekeza ili ashindwe, alipambana akatoboa ndio maana baada ya pale naye akakaza kamba akauangisha mbuyu 2015...

ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemen.
 
Huyu sasa inabidi awe anatoa na ushahidi. Siyo kuongea maneno tu.

Walau Mange, pamoja na mapungufu yake mengi, huwa anatoa toa na ushahidi wa wa hapa na pale [hata kama ushahidi wenyewe si mzito].

Utashambuliwa sana kila unapoomba evidence ya hizi tuhuma nzito, kifupi Tanzania unaweza tu kumtuhumu mtu tena tuhuma nzito bila ushahidi wowote na ukapata mashabiki lukuki.

Mpaka sasa HP ametoa tuhuma nzito Sana kwa taasisi na watu lakini hakuna hata moja ambayo ameweka fact mezani na ukiwauliza watu watakwambia alikuwa kwenye system anajua mengi...

ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemen.
 
Nahisi huyu ana ushahidi ila dizain kama anasubiri Mhusika apinge then atoe, yaani ana Uoga. Mathalan lile jengo alilosema lipo Masaki na wanawekwa vijana wanaoshinda mitandaoni kutukana watu...anasema wakibisha atadirect na Location kabisa clearly.
👍👍👍👍🔥🔥🔥
 
Huyo Slow slow hawezi kusema kila kitu maana bado ana mahaba na Ccm yake.
 
Yeye kinamuuma nini. CCM ipo kwenye kuomba kura mikutano yote Inaendelea vizuri nyomi sio poaaa

pengine kakosa la kuchema mfano ingekuwa nyomi ndogo sana tungemsikia nakejeli zake kwasasa hawe mkakamavu kuvumilia shindano ya nyomi !!

Wanaccm wapo kwenye jambo lao kusanyiko kubwaaa pande zotee 3 kwa M.R. John Nchimbi M,Mzee Wassira na RAIS SAMIA SULUHU HASSAN..

CCM inamikakati mingi kufanikisha jambo lake. ia CCM mitandaoni sijaona wakitukana watu zaidi ni Wanaccm ndio wanatukanwa kiwepesi wepesi.

POLEPOLE omba msamaha usijitafutie kufa kwa presha uko ulipo mwisho tuje kuambiwa ni Serikali

ivyo ivyo tulimuomba Askofu Gwajima kuomba Msamaha kwakuwa wewe ndio umelifikisha jambo hapo kwa kuwachokoza Viongozi wenye Mamlaka
sasa nijukumu lako kutafuta njia ya kuomba Msamaha waziwazi sio kwa kificho Sababu wewe Umetenda waziwazi na Msamaha wako lazima uwe waziwazi mimi naamini Viongozi watakusamee

lkn kila Mtanzania kwenye Akili timamu anajua kwa %100
Serikali ya Chini ya Rais Samia haikuwa na Nia wala wazo wala Sababu ya kufungia Uduma zako niwewe mwenyewe ndio umetafuta Mechi na Serikali kuu.

Nakukumbusha kutumia Nafasi ya Sasa vizuri Baada ya Uchaguzi KAkA Gwajima milango inafungwa

ktk hii Mindanao wapo wazuri kwako na wabaya ndio wengi hawezi kukushauri kutafuta Suluhu la jambo lako wivu wa maisha yako umewajaa ivyo wanakumbamba kinafiki. Hii ni mara ya3 kukutaka kuomba Msamaha wa wazi.

Nukta yangu kwako Gwajima omba Msamaha wapo watu wema wapo karibu na Viongozi wakubwa wao watakusaidia kumaliza mkwamo

lkn kwanzo niwewe utoke tu kuomba Msamaha

Kitabia chako cha kutoa vitisho ndio kinafanya mambo yako yawemagumu.

Baba shukaaa chini si wewe ndio umekosea kutumia Kanisa na waumini wako vibaya.

Ungeitisha mkutano na Waandishi habari kuongea yale ya mwanzo naamini Kanisa lingebaki na Uduma zake.

Lkn ww umezoea kutumia Kanisa lako kuongea mazito na waumini wako wanashangilia kukosolewa Viongozi Wakuu wa nchi,
kachutamee yataisha vile ujatukana Gwajima✍️
 
Aombe msamaha kwa kosa gani?
 
Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!!

Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja ipo jirani na Slipway hotel, nyingine ipo Sinza, e.t.c. T-shirts, mabango n.k vinachapishwa huko na hao hao.

kwa sasa ukitaka kila kitu chako kiende sawa,ni kumsingizia chochote kile abdul,hata ukiandika kuwa abdul kabaka ng'ombe utaonekana umesema kweli
 
Anasema Abduli ndio anachapa t-shirt za CCM

Pia, kamuhusisha na utekaji.
Eti anaweza kuwapeleka mpaka kwenye hizo nyumba mbili zenye viwanda vya kuchapisha T-Shirt na bendera🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom