Na Steven Mengele...Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!!
Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja ipo jirani na Slipway hotel, nyingine ipo Sinza, e.t.c. T-shirts, mabango n.k vinachapishwa huko na hao hao.
Steve mengele mzee wa "pua!", "Pua"!, "Pua!"Na Steven Mengele...
Kwani hujamuona Abdul alivyo busy hivi sasa?Huyu sasa inabidi awe anatoa na ushahidi. Siyo kuongea maneno tu.
Walau Mange, pamoja na mapungufu yake mengi, huwa anatoa toa na ushahidi wa wa hapa na pale [hata kama ushahidi wenyewe si mzito].
Huo ndo ushahidi?Kwani hujamuona Abdul alivyo busy hivi sasa?
Hujaiona Lumumba pamefungwa kabisa hivi sasa?
Nahisi huyu ana ushahidi ila dizain kama anasubiri Mhusika apinge then atoe, yaani ana Uoga. Mathalan lile jengo alilosema lipo Masaki na wanawekwa vijana wanaoshinda mitandaoni kutukana watu...anasema wakibisha atadirect na Location kabisa clearly.Huyu sasa inabidi awe anatoa na ushahidi. Siyo kuongea maneno tu.
Walau Mange, pamoja na mapungufu yake mengi, huwa anatoa toa na ushahidi wa wa hapa na pale [hata kama ushahidi wenyewe si mzito].
..bado unahitaji ushahidi kwa mambo ccm inafanya sasa? Kwa hiyo kuna mengine wanafanya vzr lkn wanasingiziwa..huo ushahidi wa mange umewahi kusaidia chochote..?Huo ndo ushahidi?
Mbona watu wanao shinda mitandaoni wakitoa matusi ni kutoka upande wa pili?Nahisi huyu ana ushahidi ila dizain kama anasubiri Mhusika apinge then atoe, yaani ana Uoga. Mathalan lile jengo alilosema lipo Masaki na wanawekwa vijana wanaoshinda mitandaoni kutukana watu...anasema wakibisha atadirect na Location kabisa clearly.
Nenda slipway alikokutajia ujionee Kama Kamwaga alivyoenda ubalozi wa Cuba.Huyu sasa inabidi awe anatoa na ushahidi. Siyo kuongea maneno tu.
Walau Mange, pamoja na mapungufu yake mengi, huwa anatoa toa na ushahidi wa wa hapa na pale [hata kama ushahidi wenyewe si mzito].
Ndio.Huo ndo ushahidi?
Hahaaa nyani unawaumbua ety huo ndo ushahidi wanaita trust me broHuo ndo ushahidi?
Ndiyo maana Rostam Aziz amesitisha ile press yake juzi iliyoandaliwa kumjibu Polepole.Nahisi huyu ana ushahidi ila dizain kama anasubiri Mhusika apinge then atoe, yaani ana Uoga. Mathalan lile jengo alilosema lipo Masaki na wanawekwa vijana wanaoshinda mitandaoni kutukana watu...anasema wakibisha atadirect na Location kabisa clearly.
Bahati kwake ni kuwa wapumbavu na minyumbu ya lissu huwa hawahitaji ushahidi mkuu. Wao wanahitaji kusikia tu Samia au jk au rostam au ridhiwani au Abdul kasemwa vibaya basi; kwao hilo linatosha na wanakuja mbio mbio kushangilia na kumshambulia mtuhumiwa. Yeyote atakayejaribu kuwasanua anaweza kuambulia matusi.Huyu sasa inabidi awe anatoa na ushahidi. Siyo kuongea maneno tu.
Walau Mange, pamoja na mapungufu yake mengi, huwa anatoa toa na ushahidi wa wa hapa na pale [hata kama ushahidi wenyewe si mzito].
Tuanze na wewe doctor 💊Bahati kwake ni kuwa wapumbavu na minyumbu ya lissu huwa hawahitaji ushahidi mkuu. Wao wanahitaji kusikia tu Samia au jk au rostam au ridhiwani au Abdul kasemwa vibaya basi; kwao hilo linatosha na wanakuja mbio mbio kushangilia na kumshambulia mtuhumiwa. Yeyote atakayejaribu kuwasanua anaweza kuambulia matusi.
Hivi hata wewe utatukanwa Sasa hivi🤣🤣🤣🤣
Ubarikiwe mkuu!!Tuanze na wewe msenge sana ww doctor 💊