Hata akiutoa then what? Kinachoonekana humu ni watu kufurahia maneno yake tu na si kingine.Huyu sasa inabidi awe anatoa na ushahidi. Siyo kuongea maneno tu.
Walau Mange, pamoja na mapungufu yake mengi, huwa anatoa toa na ushahidi wa wa hapa na pale [hata kama ushahidi wenyewe si mzito].
Yeye si amesema Samia ni mgombea haramu na CCM ibadili mgombea!! Mbona sasa anakuwa kama amebadili gear?? Naona kama anamkubali kwa kukosoa mwenendo wa team CCM kwenye kampeni.Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!!
Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja ipo jirani na Slipway hotel, nyingine ipo Sinza, e.t.c. T-shirts, mabango n.k vinachapishwa huko na hao hao.
Huyu sasa inabidi awe anatoa na ushahidi. Siyo kuongea maneno tu.
Walau Mange, pamoja na mapungufu yake mengi, huwa anatoa toa na ushahidi wa wa hapa na pale [hata kama ushahidi wenyewe si mzito].
👍👍👍👍🔥🔥🔥Nahisi huyu ana ushahidi ila dizain kama anasubiri Mhusika apinge then atoe, yaani ana Uoga. Mathalan lile jengo alilosema lipo Masaki na wanawekwa vijana wanaoshinda mitandaoni kutukana watu...anasema wakibisha atadirect na Location kabisa clearly.
Huyo Slow slow hawezi kusema kila kitu maana bado ana mahaba na Ccm yake.Nahisi huyu ana ushahidi ila dizain kama anasubiri Mhusika apinge then atoe, yaani ana Uoga. Mathalan lile jengo alilosema lipo Masaki na wanawekwa vijana wanaoshinda mitandaoni kutukana watu...anasema wakibisha atadirect na Location kabisa clearly.
Hatamimi nimeshangaaa hoja yake‼️Mbona watu wanao shinda mitandaoni wakitoa matusi ni kutoka upande wa pili?
Aombe msamaha kwa kosa gani?Yeye kinamuuma nini. CCM ipo kwenye kuomba kura mikutano yote Inaendelea vizuri nyomi sio poaaa
pengine kakosa la kuchema mfano ingekuwa nyomi ndogo sana tungemsikia nakejeli zake kwasasa hawe mkakamavu kuvumilia shindano ya nyomi !!
Wanaccm wapo kwenye jambo lao kusanyiko kubwaaa pande zotee 3 kwa M.R. John Nchimbi M,Mzee Wassira na RAIS SAMIA SULUHU HASSAN..
CCM inamikakati mingi kufanikisha jambo lake. ia CCM mitandaoni sijaona wakitukana watu zaidi ni Wanaccm ndio wanatukanwa kiwepesi wepesi.
POLEPOLE omba msamaha usijitafutie kufa kwa presha uko ulipo mwisho tuje kuambiwa ni Serikali
ivyo ivyo tulimuomba Askofu Gwajima kuomba Msamaha kwakuwa wewe ndio umelifikisha jambo hapo kwa kuwachokoza Viongozi wenye Mamlaka
sasa nijukumu lako kutafuta njia ya kuomba Msamaha waziwazi sio kwa kificho Sababu wewe Umetenda waziwazi na Msamaha wako lazima uwe waziwazi mimi naamini Viongozi watakusamee
lkn kila Mtanzania kwenye Akili timamu anajua kwa %100
Serikali ya Chini ya Rais Samia haikuwa na Nia wala wazo wala Sababu ya kufungia Uduma zako niwewe mwenyewe ndio umetafuta Mechi na Serikali kuu.
Nakukumbusha kutumia Nafasi ya Sasa vizuri Baada ya Uchaguzi KAkA Gwajima milango inafungwa
ktk hii Mindanao wapo wazuri kwako na wabaya ndio wengi hawezi kukushauri kutafuta Suluhu la jambo lako wivu wa maisha yako umewajaa ivyo wanakumbamba kinafiki. Hii ni mara ya3 kukutaka kuomba Msamaha wa wazi.
Nukta yangu kwako Gwajima omba Msamaha wapo watu wema wapo karibu na Viongozi wakubwa wao watakusaidia kumaliza mkwamo
lkn kwanzo niwewe utoke tu kuomba Msamaha
Kitabia chako cha kutoa vitisho ndio kinafanya mambo yako yawemagumu.
Baba shukaaa chini si wewe ndio umekosea kutumia Kanisa na waumini wako vibaya.
Ungeitisha mkutano na Waandishi habari kuongea yale ya mwanzo naamini Kanisa lingebaki na Uduma zake.
Lkn ww umezoea kutumia Kanisa lako kuongea mazito na waumini wako wanashangilia kukosolewa Viongozi Wakuu wa nchi,
kachutamee yataisha vile ujatukana Gwajima✍️
kwa sasa ukitaka kila kitu chako kiende sawa,ni kumsingizia chochote kile abdul,hata ukiandika kuwa abdul kabaka ng'ombe utaonekana umesema kweliPolepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!!
Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja ipo jirani na Slipway hotel, nyingine ipo Sinza, e.t.c. T-shirts, mabango n.k vinachapishwa huko na hao hao.
Eti anaweza kuwapeleka mpaka kwenye hizo nyumba mbili zenye viwanda vya kuchapisha T-Shirt na bendera🤣🤣🤣Anasema Abduli ndio anachapa t-shirt za CCM
Pia, kamuhusisha na utekaji.