Polepole hata kama uko Songea mjini na siyo Peramiho bado siyo sahihi kumpigia kampeni Jenister Mhagama!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Nimeshangazwa sana na kauli ya komredi Polepole baada ya kumsifia sana Jenister Mhagama akasema kwa kuwa mkutano ule unafanyika Songea mjini na siyo Peramiho kummwagia sifa lukuki Jenister Mhagama siyo kampeni.

Kilichonitisha ni ukweli kuwa Polepole ni mjumbe wa kamati kuu ambayo itachuja majina ya waombaji.....sasa sielewi kama haki itatendeka kwa jimbo la Peramiho!

Mkutano unarushwa mubashara Channel ten

Maendeleo hayana vyama.
 
Bwana John mbatizaji, hiyo ndio CCM mpya..
Kuna wakati mnachelewa sana kuwaelewa wenzenu, yakiwakuta inakuwa too late, ila fahamuni wenzenu wasio mashabiki wa siasa kuna vitu wanaona mapema sana kuvisema mnaishia kuwaita nyumbu...

Naomba nikwambie kwa taarifa yako na tunza haya maneno, hayupo wakumkata Makonda wala Mnyeti, na hao wote baraza la mawaziri lijalo wamo na bado tutapiga makofi tu...pole sana mbatizaji..
 
Hata wale walioacha vyeo vyao serikalini na kukimbilia bungeni yawezekana wametumwa....maana haya niyaonayo leo ni zaidi ya siasa!
Kuhusu Polepole, Mimi nakushangaa wewe zaidi ya Polepole. Wewe ni mwanaCCM ninayekuheshimu kama mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja na mwenye uwezo wa kusimama katika haki pale inapohtajika kufanya hivyo. Lakini nashangaa mpaka Leo hujamjua Polepole. Kwa maana hiyo Hata Magufuli humjui?
 
Bwana John mbatizaji, hiyo ndio CCM mpya..
Kuna wakati mnachelewa sana kuwaelewa wenzenu, yakiwakuta inakuwa too late, ila fahamuni wenzenu wasio mashabiki wa siasa kuna vitu wanaona mapema sana kuvisema mnaishia kuwaita nyumbu...

Naomba nikwambie kwa taarifa yako na tunza haya maneno, hayupo wakumkata Makonda wala Mnyeti, na hao wote baraza la mawaziri lijalo wamo na bado tutapiga makofi tu...pole sana mbatizaji..
Hahahaaaa....... Ole sendeka je atakuwemo barazani?
 
Sheria hazimbani yeye, ni kwa ajili ya wengine.
 
Bwana John mbatizaji, hiyo ndio CCM mpya..
Kuna wakati mnachelewa sana kuwaelewa wenzenu, yakiwakuta inakuwa too late, ila fahamuni wenzenu wasio mashabiki wa siasa kuna vitu wanaona mapema sana kuvisema mnaishia kuwaita nyumbu...

Naomba nikwambie kwa taarifa yako na tunza haya maneno, hayupo wakumkata Makonda wala Mnyeti, na hao wote baraza la mawaziri lijalo wamo na bado tutapiga makofi tu...pole sana mbatizaji..
Mnyeti na Bashite ni wasukuma..sawa sawa?
Na wote ni wahalifu
 
Huyu mhagama nae imetosha tunamfuta

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Back
Top Bottom