johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hata wale walioacha vyeo vyao serikalini na kukimbilia bungeni yawezekana wametumwa....maana haya niyaonayo leo ni zaidi ya siasa!Vumilia tu ndugu
Kuhusu Polepole, Mimi nakushangaa wewe zaidi ya Polepole. Wewe ni mwanaCCM ninayekuheshimu kama mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja na mwenye uwezo wa kusimama katika haki pale inapohtajika kufanya hivyo. Lakini nashangaa mpaka Leo hujamjua Polepole. Kwa maana hiyo Hata Magufuli humjui?Hata wale walioacha vyeo vyao serikalini na kukimbilia bungeni yawezekana wametumwa....maana haya niyaonayo leo ni zaidi ya siasa!
Hahahaaaa....... Ole sendeka je atakuwemo barazani?Bwana John mbatizaji, hiyo ndio CCM mpya..
Kuna wakati mnachelewa sana kuwaelewa wenzenu, yakiwakuta inakuwa too late, ila fahamuni wenzenu wasio mashabiki wa siasa kuna vitu wanaona mapema sana kuvisema mnaishia kuwaita nyumbu...
Naomba nikwambie kwa taarifa yako na tunza haya maneno, hayupo wakumkata Makonda wala Mnyeti, na hao wote baraza la mawaziri lijalo wamo na bado tutapiga makofi tu...pole sana mbatizaji..
Mnyeti na Bashite ni wasukuma..sawa sawa?Bwana John mbatizaji, hiyo ndio CCM mpya..
Kuna wakati mnachelewa sana kuwaelewa wenzenu, yakiwakuta inakuwa too late, ila fahamuni wenzenu wasio mashabiki wa siasa kuna vitu wanaona mapema sana kuvisema mnaishia kuwaita nyumbu...
Naomba nikwambie kwa taarifa yako na tunza haya maneno, hayupo wakumkata Makonda wala Mnyeti, na hao wote baraza la mawaziri lijalo wamo na bado tutapiga makofi tu...pole sana mbatizaji..
Hahahaaaa...... demokrasia ina gharama zake by Kubenea!Na bado utashangazwa sana hadi litakushuka