SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe mliupata barabara!Hata sisi wa uswazi tunajua yaliyochini ya kapeti.
Yaani kweli imefikia hata mr. Polepole nae anamkejeli Raisi wa nchi kuhusu Corona? Raisi wa nchi fukuza polepole anakuaibisha wewe na nchi kwa ujumla
Paskali, usishangae huenda huu ni mojawapo ya ule "ushetani na wendawazimu" uliosema wanafanyiwa wapinzaniDuh...!.
P
Mami , Nani Kakuambia wao hawazivuni ?!.El
Elewa kun tatizo la kuzivuna ili tuondekana na hii dhana ya omba omba. Ndio maana alipoingia JPM anataka Tanzania sasa ianze kunufaika. Watu walikuwa wanajizolea tu. Kama shamba la bibi.
Wanavuna? Wanamigodi? Mimi sijui .Embu tupe taarifa
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787].Wanavuna? Wanamigodi? Mimi sijui .Embu tupe taarifa
Unanicheka? Sema ukweli kaka. Wanayo? Yako wapi? Mimi nipo nyakagwe siwezi kujua.
PureHivi na Pole pole pia ni msukhuma?
In God we Trust
Kipimo cha upinzani kuimarika ni kipi?
Kuwekwa lupango,kupigwa risasi hadharani,kutekwa na kuuwawa imekuwa sehemu ya maisha ya wapinzani!Sote ni mashahidi hapa nyuzi za kutaka huo ugonjwa uje zilikuwa hazikauki, naamini wapinzani watakuwa na amani kwa sasa kwakua umeshafika.
Pure