UNIQUEMAN1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 378
- 448
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beatrice Kamugisha, Mh.sana Polepole kumbuka kuna Maisha baada ya Awamu hii kumbuka Pia Mdomo uliponza kichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi naona tofauti. Wapinzani wanazidi kuwajenga walioko madarakani.Mawe wanayowatupia upinzani hao upinzani wanatumia hayo mawe kujiimarisha! View attachment 1393765
Hivi huyu ni Msemaji wa Serikali au ? Mbona anaongea kwa mamlaka kuliko hata waziri mkuu ?
Hivi huyu ni yule Pole pole wa bunge la katiba au ni clone wake...?
Au ccm wameshan'goa akili zote amebakiwa mtupu kichwani..anasema anacholishwa na wakubwa wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sisi wa uswazi tunajua yaliyochini ya kapeti.Hayo ni yako,ila ujumbe mliupata ndio maana na Jiwe naye akakurupuka kwenda kumlipia Msigwa wakati akijua kabisa CDM ilishamlipia!
Huyu Polepole ndio maana akawa na sura kama kirusi chenyewe, kama wasukuma wote wako hivyo basi kazi tunayo
Kuna mpinzani ameugua Corona?Wapinzani waliita korona sasa imefika. wanalo. wahangaike nalo.
Ahaaa. Kwa nini? Sio fake kama watu wengine wanavyofanya.Kwa hiyo ID yako sikushangai
In God we Trust
Elewa kun tatizo la kuzivuna ili tuondekana na hii dhana ya omba omba. Ndio maana alipoingia JPM anataka Tanzania sasa ianze kunufaika. Watu walikuwa wanajizolea tu. Kama shamba la bibi.Sasa mbona mnaomba omba?
In God we Trust
Upinzan bongo haujawahi kuimarikaMawe wanayowatupia upinzani hao upinzani wanatumia hayo mawe kujiimarisha! View attachment 1393765
Sote ni mashahidi hapa nyuzi za kutaka huo ugonjwa uje zilikuwa hazikauki, naamini wapinzani watakuwa na amani kwa sasa kwakua umeshafika.