#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Hivi na Pole pole pia ni msukhuma?
Huyu Polepole ndio maana akawa na sura kama kirusi chenyewe, kama wasukuma wote wako hivyo basi kazi tunayo

In God we Trust
 
Safi, nazani wamegundua ukweli km corona haina madhara. Hatuwezi zuia watalii kwaajili ya mafua. Huu ugonjwa hapa bongo utapita bila kuua hata mtu mmoja. Nna hakika na hili
 
Sasa mbona mnaomba omba?

In God we Trust
Elewa kun tatizo la kuzivuna ili tuondekana na hii dhana ya omba omba. Ndio maana alipoingia JPM anataka Tanzania sasa ianze kunufaika. Watu walikuwa wanajizolea tu. Kama shamba la bibi.
 
Anaongea kama nani. Hii statement inatakiwa atoe Waziri Mkuu. Hata waziri tu hatoshi
 
Beatrice Kamugisha,
Ni kweli upinzani bongo ni km corona, upinzani mikwara mingi alafu matokeo zero. Corona vitisho vingi af hamna madhara. Wagonjwa wanajipiga picha km wapo picnic
 
Namnukuu katibu mwenezi wa chama pendwa chini ya mbarikiwa mh jiwe.

"Ukizuia watalii Kuingia nchini Kwa mwezi mmoja, italeta shida kiuchumi, Kwa hiyo tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini"

mwisho wakumnukuu msemaji WA chama cha wanyonge wanaotembea KIFUA MBELE NCHINI.
90432521_2742747262440885_7692507914304487424_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom