#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Tumsamehe Ndo uwezo wake wa kufikiri ulipo ishia..

Time is a drug. Too much of it kills you
 
Umesahau enzi zile Dk slaa alivyokuwa anasimama jukwaani? Umesahau Dk slaa alisema nchi haitawalika mpaka mkuu wakati huo akanywea? Umesahau Dk slaa alivyoimarisha chama mpaka wabunge wakafika zaidi ya 40. Au unajifanya hujui.
Baada ya Slaa kuondoka,wabunge wako wangapi leo wa upinzani?Hiyo mikutano ya kisiasa mmezuia mwaka wa 5 huu,unataka cheche zao waoneshe wapi?Maana hata Slaa huo mkutano haukufanyika Karatu bali Daresalaam!
 
Baada ya Slaa kuondoka,wabunge wako wangapi leo wa upinzani?Hiyo mikutano ya kisiasa mmezuia mwaka wa 5 huu,unataka cheche zao waoneshe wapi?Maana hata Slaa huo mkutano haukufanyika Karatu bali Daresalaam!
Safari hata wangeruhusu ingekuwa ni kupoteza muda wa kufanya maendeleo.Hamna cha maana mgetueleza. Mfano kama vituo vya afya mia tatu na kitu vimejengwa ndani ya miaka minne mtatueleza nini? Hata kama hatuna chama.
 
Safari hata wangeruhusu ingekuwa ni kupoteza muda wa kufanya maendeleo.Hamna cha maana mgetueleza. Mfano kama vituo vya afya mia tatu na kitu vimejengwa ndani ya miaka minne mtatueleza nini? Hata kama hatuna chama.
1.Hoja ya idadi ya wabunge uliyoileta mwenyewe umekubali kushindwa na umesalimu amri na kuhamisha magoli!

2.Unamzuia mtu kufanya mikutano halafu unamwambia hata nikikuruhusu huna cha kuongea maana kila kitu nimetekeleza!Aisee,si uwaache halafu uone watawashawishi wananchi kwa sera zipi?
 
Sijakuelewa kuhusu wabunge naona wote wanarudi kuunga juhudi. Au idadi ipo kama enzi za Dk slaa?
 
Tukifikia ile hali ya Italy hakuna mtalii atakanyaga Bongo. Hapo ndio utakapoona nzi wa kijani hawana akili.

Akili yangu inanituma kwamba mipaka haifungwi ili watu waumwe tupate gawio kutoka WHO then wagawane. Kama kweli kuna watu wamepanga hivyo. I swear, corona itawatafuna na hayo magonjwa yao mengine kama pressure, diabetes, kisukari, kiharusi n.k. wataishia kaburini na hizo hela wasizipate.

Ngoja tuone.
 

Kutokufahamu dharura ya Corona na kuendekeza siasa uchwara namna hii ni jambo la aibu sana.

Kwa maana nyingine njaa ndiyo iliyotuacha kuacha Corona kuingia. Njaa hiyo hiyo ndiyo unaowafanya waheshimiwa hawa kutokuona umuhimu wa kuudhibiti ugonjwa huu.

Wekeni akiwa ya maneno. Hatutakubali upuuzi utuletee misiba kwa kuendekeza njaa zenu.
 
Hili Polepole linaongea pumba tu.

Hata wakiruhusu watalii kuingia haitasaidia kitu kama hao watalii hawaji.
Watu wengi hawasafiri sasa kwa sababu ya tahadhari ya ugonjwa.
Wadau wa utalii wanasema bookings nyingi za watalii alikuwa wanakuja zimekuwa cancelled.
Nchi zinatoa watalii wengi zimeanza kwenda kwenye total lockdown. US kwa mfano ndio inatoa watalii wengi kuja Tanzania lakini leo jimbo lake la California lime-go into total lockdown.
 
Uwe unafanya utafiti kabla ya kuandika hoja!Mpaka sasa wabunge wa CDM ni 60+ !
Nafkiri hatujaelewna,mimi nazungumzia kabla chama chako hakijatoa KUB miaka ya nyuma wakati Cuf wako ngangari mpaka Dk akaja kuleta mabadiliko hadi mkapata wabunge wengi
 
Hiki kizee mbona kina akili mbovu sana! Kweli nimeamini ukitaka kuwa mwana ccm ni lazima akili yako timamu uiache uvae ya utaahira.
 
MPAKA HAPO MMOJA WA VIONGOZI WA CCM ATAKAPOKUWA MUHANGA WA COVID-19 NDIO WATAJUA KUWA MARADHI HAYA HAYACHAGUI CCM AU WAPINZANI!!! MNAFANYA MZAHA KANA VILE HAMUONI WATU WANVYOPUKUTIKA ULAYA NA MAREKANI, NYIE ETI MNASEMA WATALII LAZIMA WAJE!! RWANDA NI NCHI NDOGO KWETU LAKINI ANGALIA HATUA WALIZOCHUKUA KUJIHAMI; KWANI WAO HAWAFAIDIKI NA WATALII?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…