#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Wewe kama mimi mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli umesema vyema; Miafrika ndivyo tulivyo. Kwako weye busu ndo sex!!! Maajab mapya haya. Yaani unaona kuwa kama ungelikuwa dakitari basi cha kwanza kufanya ni kuwatafuta wenzako wenye mawazo ka yako muwa castrate wanaume ili sex ikome?? Kweli una mawazo makuuubwa sijawahi kuona.
 
.
 
Kuna jamaa yangu amekwama Senegal maana uwanja wa ndege wa Dakar umefungwa
 
Yaani tumefika huku? Unapo mfananisha mtu na janga ambalo dunia nzima ina hangaika kutafuta njia ya kuliangamiza ni sawa nakutangaza vita. Je kiongozi wa aina hii anapataje uhalali wa kubaki katika nafasi yake?
 
Muda mfupi baada ya mwana FA kutangaza kukutwa na COVID 19, lakini muda na nyakati zikiwa hazipo sahihi yani ulienda SA lini na kurudi bongo lini.

Polepole ambaye ni aina ile ile ya FA, anatoka kuaminisha watu kwamba watu kutoka mataifa mbalimbali wataendelea kuingia TZ no matter CORONA kwa sababu it's nothing to black race. Tuna muda mrefu sana kwa akili hizi za kipuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na habari za ukawa ambao walileta hii idadi. Mimi nataka urudi nyuma enzi zile Cdm ni Cdm kweli chinini ya Dk.
Ndio nakwambia,idadi ya wabunge wa CDM pekee baada ya uchaguzi 2015 imeongezeka kuliko wakati wowote ule katika historia ya CDM!
 
Wakati mwinginenhawa Viongoxi was CCM wanatunga sana uonga nankujadaa wananchi kwa kuwachafua wasio na na doamlolote... Inakuwaje Huyo Paulina asishtaki huyo aliyekuwa anamtaka kimapenzi mahakamani kama sio upumbavu wa Polepole anaudhihirishia UMA na kumchafua huyo Gekulu?. Na pole pole ni mahakama ama DPP? Wanakalia umbea tu na kuhadaa UMA na anajisahau kuwa madaraka aliyo nayo yatapotea. Ubongo was Poleole umejaa ujinga na upumbavu ambao hautakaa umtoke hata akiwa wapi.
 
Ndio nakwambia,idadi ya wabunge wa CDM pekee baada ya uchaguzi 2015 imeongezeka kuliko wakati wowote ule katika historia ya CDM!
Sawa lakini hakuna tija.Ongezeko la wakati wa Dk slaa lilikuwa na tija chama kilikuwa chama kweli.Wananchi walihisi ukombozi umefika.Kosa ni pale Ex Dj alipovuta mpunga na kubadili gea angani.
 
Unajifanya hujamuelewa mleta mada?! Ni nchi gani ya Afrika ambayo inafanya utafiti wa chanjo ya Covid-19?
Kutokujua kama kuna nchi ya Afrika inafanya utafiti kutatupatia jibu hakuna nchi inayofanya?


Wewe unafanya?....mbona wazungu binafsi/makampuni binafsi yanafanya....
 
Mtoto anapodhani mali za babake ni zake siku atakapogundua katika wosia hajahusishwa hugeuka kama kirusi cha corona kinamshambulia yoyote: one day polepole atajigundua Anayofanya sasa ni upotovu ktk maisha yake:


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yeye a nafikiri watalii wanakuja tuu kama marobota ya mitumba. Lazima ajue utalii ni leisure na hakuna mtu atakaeenda kutembea sehemu ambazo ni hatari kwa maisha yake
Vile vile ajue tangu January booking kwa tour operators zimesimama kanisa na cancelation karibia nusu yote ya next season
International flights zote zita sufer vya kutosha
Na hata hii shida ikiisha watalii wengi itabidi wajipange zaidi kifedha
Hili swala na corona naona hapa wataalam wetu wa afya wamejificha wamewaachia wanasiasa uchwara kupatia kiki kwenye majukwaa
 
Sawa lakini hakuna tija.Ongezeko la wakati wa Dk slaa lilikuwa na tija chama kilikuwa chama kweli.Wananchi walihisi ukombozi umefika.Kosa ni pale Ex Dj alipovuta mpunga na kubadili gea angani.
Tunaongelea hapa chama kukua,nikakuuliza ili chama kikue tunatakiwa kuangalia viashiria vipi?Ukanitajia na nikatumia hivyo hivyo viashiria kukuonesha kuwa CDM sasa imekua zaidi ya kipindi cha Dr Slaa!Nakuongeza na vigezo vingine ukiachana na idadi ya wabunge!
Wanachama sasa wameongezeka kuliko wakati wa Slaa!Lakini pia ruzuku ya chama imeongezeka kutokana na idadi ya kura milion 6 mwaka 2015 na wabunge lukuki!
Hizo ulizoleta hapo juu ni blah blah,hoja hujibiwa kwa hoja na sio mipasho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…