Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Wewe unawaza mabusu ni sex tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa. Huyu jamaa ndio nani?Kamuulize chakubanga
In God we Trust
Wewe kama mimi mkuu..Wakati wenzetu wanaanza kuugua corona wala hatukujishughulisha na kitu. Si tiba wala kinga...yaani tupo tupo tu.
Leo tumeanza pata corona..wala hatuwezi hata piga mikwara wageni wasiingie.mbaya zaidi hata hatuwazi kutafuta kinga wala tiba.tunakaa kusikiliza marekani na china wanafanya nini.
Tunapeana tu namna mpya za kusex....yaani swali linakuja sasa tuta sex vipi na corona. Yaani akili zetu ni za hovyo kiasi kwamba tunapozungumzia corona tukihusisha sex. Yaani tunaona kujikinga ni kutobusiana tu...tuna akili za kinyani mpaka leo.
Najuta kwanini sikusome udaktari maana angalau ngetafuta wenzangu tuji organize tupambane na hii corona.siyo mijitu inawaza ngono tu all the time na kusubiri matamko from usa na china.
Unajifanya hujamuelewa mleta mada?! Ni nchi gani ya Afrika ambayo inafanya utafiti wa chanjo ya Covid-19?Kwanini unajumuisha Afrika nzima wakati kuna nchi za Afrika zilisitisha siku nyingi safari za nchi zilizoathiriwa?
.Wakati wenzetu wanaanza kuugua corona wala hatukujishughulisha na kitu. Si tiba wala kinga...yaani tupo tupo tu.
Leo tumeanza pata corona..wala hatuwezi hata piga mikwara wageni wasiingie.mbaya zaidi hata hatuwazi kutafuta kinga wala tiba.tunakaa kusikiliza marekani na china wanafanya nini.
Tunapeana tu namna mpya za kusex....yaani swali linakuja sasa tuta sex vipi na corona. Yaani akili zetu ni za hovyo kiasi kwamba tunapozungumzia corona tukihusisha sex. Yaani tunaona kujikinga ni kutobusiana tu...tuna akili za kinyani mpaka leo.
Najuta kwanini sikusome udaktari maana angalau ngetafuta wenzangu tuji organize tupambane na hii corona.siyo mijitu inawaza ngono tu all the time na kusubiri matamko from usa na china.
Kuna jamaa yangu amekwama Senegal maana uwanja wa ndege wa Dakar umefungwaWakati wenzetu wanaanza kuugua corona wala hatukujishughulisha na kitu. Si tiba wala kinga...yaani tupo tupo tu.
Leo tumeanza pata corona..wala hatuwezi hata piga mikwara wageni wasiingie.mbaya zaidi hata hatuwazi kutafuta kinga wala tiba.tunakaa kusikiliza marekani na china wanafanya nini.
Tunapeana tu namna mpya za kusex....yaani swali linakuja sasa tuta sex vipi na corona. Yaani akili zetu ni za hovyo kiasi kwamba tunapozungumzia corona tukihusisha sex. Yaani tunaona kujikinga ni kutobusiana tu...tuna akili za kinyani mpaka leo.
Najuta kwanini sikusome udaktari maana angalau ngetafuta wenzangu tuji organize tupambane na hii corona.siyo mijitu inawaza ngono tu all the time na kusubiri matamko from usa na china.
Yaani tumefika huku? Unapo mfananisha mtu na janga ambalo dunia nzima ina hangaika kutafuta njia ya kuliangamiza ni sawa nakutangaza vita. Je kiongozi wa aina hii anapataje uhalali wa kubaki katika nafasi yake?Akihojiwa clouds Humphrey polepole amesema wapinzani Ni sawa Corona.
Kauli hii ya kiongozi kijana inaweza tafsiriwa Kama kauli ya kiongozi aliyepoteza dira na ambaye kwake maisha ya watu wasio ccm si kitu bali binadamu sahihi ni mwanaccm.
Niwaomba viongoz wa chama tawala kuchukua hatua kwake na pia vyombo vya dola kumshughulikia kwani kumwacha aendelee na tabia hii kutasababisha wapinzani nao kutumia kauli Kama hizi kujibu mapigo na hivyo kusababisha mgawanyiko kwenye taifa.
Tukumbuke ishu ya MENDE kwa wenzetu...
**********
Amesema ukizuia Watalii kuingia Nchini kwa mwezi mmoja kutokana na #coronavirus italeta shida kiuchumi, hivyo ni kuomba Mungu ugonjwa huu uondoke. #COVID19 ni sawa na wapinzani Nchini
Katibu huyo wa Itikadi na Uenezi wa CCM, amesema "Tuna vituo Nchi nzima ambavyo vimetengwa kwa ajili ya kuwahudumia waathirika wa ugonjwa wa virusi vya hivyo."
Kuhusu CCM kununua Wapinzani amesema "Si kweli kuwa CCM inatoa fedha kununua Wanachama wa upinzani bali inabidi wapinzani watazame jinsi wanavyoharibikiwa wenyewe ndani kwa ndani"
"Kuna mwanachama wa Mbowe anaitwa Paulina, aliondoka kwenye Chama kwasababu alikuwa anatakiwa kimahusiano na viongozi wake hivyo akaamua kuhama ili kuokoa ndoa yake lakini alivyohama wapinzani wakatafuta kisingizo kuwa amenunuliwa"
Ameongeza, "Chama cha Freeman Mbowe wanaiitana Bwana au Kamanda wao sio ndugu. Katika chama chetu huwa natumia sana neno ndugu na siyo Mheshimiwa kwa kwasababu sisi si kitu bila ya watu waliotupa dhamana"
Aidha, amesema "Hii tume ya Uchaguzi ni huru kabisa kama si huru mbona Halima Mdee na Joseph Mbilinyi walishinda? Mtu pekee anayeweza kuzungumzia kuhusu tume ya Uchaguzi ni Umma na siyo Vyama Vya Siasa."
"Tume ya utumishi wa umma ndiyo inachakata majina 5 ya Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya uchaguzi na kumpelekea Rais ili ateue jina moja"
"Freeman Mbowe anataka tufanye maridhiano lakini sisi na wao hatufikirii pamoja kwenye kile wanachohitaji wananchi hadi sasa"
"Tangu nimekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM sijawahi kufanya mkutano wa hadhara.
Sisi kama CCM huwa hatufanyi mikutano ya hadhara kwenye majimbo yasiyoongozwa na wanachama wetu, mfano Mbeya ni Jimbo la Joseph Mbilinyi yeye huwa anafanya mikutano lakini akifanya anazungumzia jela kubaya"
"Godbless Lema hajawahi kutembelea miradi ya kimaendeleo Arusha Mjini na akifanya mikutano ya hadhara hazungumzii vitu hivyo bali yeye anazungumza kuhusu Jela tu. Kila tunachokifanya wanasema ni kibaya na sisi hatukatai kushauriwa kwasababu siyo maroboti lakini tangu tumeanza kupewa ushauri hatujawahi kupewa ushauri wa maana."
Ndio nakwambia,idadi ya wabunge wa CDM pekee baada ya uchaguzi 2015 imeongezeka kuliko wakati wowote ule katika historia ya CDM!Achana na habari za ukawa ambao walileta hii idadi. Mimi nataka urudi nyuma enzi zile Cdm ni Cdm kweli chinini ya Dk.
Sawa lakini hakuna tija.Ongezeko la wakati wa Dk slaa lilikuwa na tija chama kilikuwa chama kweli.Wananchi walihisi ukombozi umefika.Kosa ni pale Ex Dj alipovuta mpunga na kubadili gea angani.Ndio nakwambia,idadi ya wabunge wa CDM pekee baada ya uchaguzi 2015 imeongezeka kuliko wakati wowote ule katika historia ya CDM!
Kutokujua kama kuna nchi ya Afrika inafanya utafiti kutatupatia jibu hakuna nchi inayofanya?Unajifanya hujamuelewa mleta mada?! Ni nchi gani ya Afrika ambayo inafanya utafiti wa chanjo ya Covid-19?
Tunaongelea hapa chama kukua,nikakuuliza ili chama kikue tunatakiwa kuangalia viashiria vipi?Ukanitajia na nikatumia hivyo hivyo viashiria kukuonesha kuwa CDM sasa imekua zaidi ya kipindi cha Dr Slaa!Nakuongeza na vigezo vingine ukiachana na idadi ya wabunge!Sawa lakini hakuna tija.Ongezeko la wakati wa Dk slaa lilikuwa na tija chama kilikuwa chama kweli.Wananchi walihisi ukombozi umefika.Kosa ni pale Ex Dj alipovuta mpunga na kubadili gea angani.