Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Mami. Mbona leo mnamtukuza Dr Slaa ?!. Wakati alipokuwa Cdm kila siku mlikuwa mnamsimanga , kumpiga na kumbambikia vyesi vya uchochezi !!!. Leo hii kawaJe mzuri ?!. UNAFKI wa WaTzSijakuelewa kuhusu wabunge naona wote wanarudi kuunga juhudi. Au idadi ipo kama enzi za Dk slaa?
Serously.
Mungu atawapa anguko baya hawa jamaa
Wamempata kupitia manunuzi,anatakiwa atumike hadi gharama zirudi,wanatakiwa wampe Umagufuli au Ubashiru ndiyo tuamini Wanayoyasema wanamaanisha anafaa sana au ni kiongozi bora kuliko waliobakia CHADEMA.Mami. Mbona leo mnamtukuza Dr Slaa ?!. Wakati alipokuwa Cdm kila siku mlikuwa mnamsimanga , kumpiga na kumbambikia vyesi vya uchochezi !!!. Leo hii kawaJe mzuri ?!. UNAFKI wa WaTz
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile hotuba ya Dk pale serena iliondoka na watu wengi wenye akili. Mkabakia kama nyie mlioshupaza shingo. Maana mlipakuwa kinyesi alafu mkakileta sebuleni.Mami. Mbona leo mnamtukuza Dr Slaa ?!. Wakati alipokuwa Cdm kila siku mlikuwa mnamsimanga , kumpiga na kumbambikia vyesi vya uchochezi !!!. Leo hii kawaJe mzuri ?!. UNAFKI wa WaTz
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa kwa maneno yake ni hatari kuliko CORONA virus analigawa taifa kwa maneno yake ya kejeli Kuwaita watanzania wenzako CORONA VIRUS kisa ni wapinzani ni kuwagawa watu,mbaya haipendeziAkigusia suala la virusi vya corona Kupitia kipindi cha SEBULENI cha Couds Plus, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema:
"Ukizuia watalii kuingia Nchini kwa mwezi mmoja italeta shida kiuchumi, kwahiyo tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani Nchini"
"Wabunge kwa sasa wataanza kuchukuliwa vipimo kabla ya kuingia bungeni na kama wakikutwa na chembechembe za virusi vya Corona basi watachukuliwa hatua za awali kuepusha mlipuko huu"
"Tuna vituo Nchi nzima ambavyo vimetengwa kwa ajili ya kuwahudumia waathirika wa ugonjwa wa virusi vya Corona"
Pia soma > Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona
Lugha gani tena hizo au hizo za kuwaita akina Halima Mdee kuwa ni Covid 19?Mkuu yaani rais wa nchi hizo lugha dhidi vya wapinzani zimkere mpaka amfukuze kazi Polepole? Hizo ndio lugha anazotaka kusikia zikitamkwa dhidi ya wapinzani, na sio hizo lugha tu, hata wakiuwawa kwake ni poa tu.
Yani kuwaita wale wasaliti wakina Halima Mdee kuwa ni Covid 19 ndio unasema ni kukufuru?Polepole amekufuru. Hajui maana ya anayotamka kwa kibri. Anafikiri huu ni ugonjwa wa wapinzani na maskini. Yeye wa kiyoyozini haumfikii.
Mungu ni mwema wakati wote. Utukufu ni wa Mungu wakati wote.
Nafikiri siasa zetu ndio zina sababisha hivyo hata ukiangalia sasa wakina Halima Mdee wanaitwa covid 19, yani ni yaleyale.Ninamashaka na uwezo wa Polepole wa kufikiri
Ninamashaka na uwezo wa Polepole wa kufikiri
Hapana ni kinyume chake,Polepole alishafikiria muda sana kuwa wapinzani ni sawa na corona ,angalia et leo chadema ndio wanakuja kuitana covid 19 wakati Polepole alishalifikiria hilo muda tu.Anafikiri polepole sana.
Hapana ni kinyume chake,Polepole alishafikiria muda sana kuwa wapinzani ni sawa na corona ,angalia et leo chadema ndio wanakuja kuitana covid 19 wakati Polepole alishalifikiria hilo muda tu.
Wakihamia kwao hawawi tena wapinzani hivyo ule ukovid unapotea.Mbona haohao kina polepole wanataka hao "covid" wahamie kwao !! 🤣