#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Kauli ya kushindwa hii.
Serously.

Mungu atawapa anguko baya hawa jamaa



______________[emoji36][emoji2958]_______________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Mami. Mbona leo mnamtukuza Dr Slaa ?!. Wakati alipokuwa Cdm kila siku mlikuwa mnamsimanga , kumpiga na kumbambikia vyesi vya uchochezi !!!. Leo hii kawaJe mzuri ?!. UNAFKI wa WaTz

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamempata kupitia manunuzi,anatakiwa atumike hadi gharama zirudi,wanatakiwa wampe Umagufuli au Ubashiru ndiyo tuamini Wanayoyasema wanamaanisha anafaa sana au ni kiongozi bora kuliko waliobakia CHADEMA.

Msitutoe kwenye reli ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba ya Wananchi kwa Corona yenu mliyo import.
 
Mami. Mbona leo mnamtukuza Dr Slaa ?!. Wakati alipokuwa Cdm kila siku mlikuwa mnamsimanga , kumpiga na kumbambikia vyesi vya uchochezi !!!. Leo hii kawaJe mzuri ?!. UNAFKI wa WaTz

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile hotuba ya Dk pale serena iliondoka na watu wengi wenye akili. Mkabakia kama nyie mlioshupaza shingo. Maana mlipakuwa kinyesi alafu mkakileta sebuleni.
 
.
FB_IMG_1584778698643.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona ndege ya Ethiopia ambayo inabeba abiria 160 imetua KIA na abiria 3 ambao walisema wanakuja kutalii sasa hao wanafaida gani
 
Akigusia suala la virusi vya corona Kupitia kipindi cha SEBULENI cha Couds Plus, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema:

"Ukizuia watalii kuingia Nchini kwa mwezi mmoja italeta shida kiuchumi, kwahiyo tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani Nchini"

"Wabunge kwa sasa wataanza kuchukuliwa vipimo kabla ya kuingia bungeni na kama wakikutwa na chembechembe za virusi vya Corona basi watachukuliwa hatua za awali kuepusha mlipuko huu"

"Tuna vituo Nchi nzima ambavyo vimetengwa kwa ajili ya kuwahudumia waathirika wa ugonjwa wa virusi vya Corona"

Pia soma > Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Huyu jamaa kwa maneno yake ni hatari kuliko CORONA virus analigawa taifa kwa maneno yake ya kejeli Kuwaita watanzania wenzako CORONA VIRUS kisa ni wapinzani ni kuwagawa watu,mbaya haipendezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yaani rais wa nchi hizo lugha dhidi vya wapinzani zimkere mpaka amfukuze kazi Polepole? Hizo ndio lugha anazotaka kusikia zikitamkwa dhidi ya wapinzani, na sio hizo lugha tu, hata wakiuwawa kwake ni poa tu.
Lugha gani tena hizo au hizo za kuwaita akina Halima Mdee kuwa ni Covid 19?
 
Polepole amekufuru. Hajui maana ya anayotamka kwa kibri. Anafikiri huu ni ugonjwa wa wapinzani na maskini. Yeye wa kiyoyozini haumfikii.

Mungu ni mwema wakati wote. Utukufu ni wa Mungu wakati wote.
Yani kuwaita wale wasaliti wakina Halima Mdee kuwa ni Covid 19 ndio unasema ni kukufuru?
 
Anafikiri polepole sana.
Hapana ni kinyume chake,Polepole alishafikiria muda sana kuwa wapinzani ni sawa na corona ,angalia et leo chadema ndio wanakuja kuitana covid 19 wakati Polepole alishalifikiria hilo muda tu.
 
Hapana ni kinyume chake,Polepole alishafikiria muda sana kuwa wapinzani ni sawa na corona ,angalia et leo chadema ndio wanakuja kuitana covid 19 wakati Polepole alishalifikiria hilo muda tu.


Mbona haohao kina polepole wanataka hao "covid" wahamie kwao !! 🤣
 
Back
Top Bottom