#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Wapinzani nyie ni zaidi ya Corona na si mlitaka Corona nyie?


Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ni Mshenxx huna akili na taahira mkubwa...huna tofauti na Polepole wako...!!
Corona imeanzia WUHAN Jimbo la Hubei nchini CHAINA kwa uharo wenu na Polepole mnataka kusema CHADEMA ndo walipeleka Corona -V nchini China?

Kama nyie ni Chama Dole sijui Twawala MMESHINDWAJE KUIZUIA CORONA ISIINGIE TANZANIA?
Dawa ni kuwapeleka Mahakamani for defamation ili mshike adabu..!!!
Pambaf zenyu!
 
Yupo sawa polepole! Hatukufunga mipaka wakati wa ebora, wakati wa mafua ya ndege, wakati wa kipindupindu! Sembuse corona!!
Uko sawa mkuu.
 

Chama dola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…