Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Duh...!.
P
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahah ni kweli.Wakati mwingine unaweza kutoa siri bila kujua bwashee!
Duh...!.
P
Loud speakerHawa CCM siku hizi wanajikuta wakijiropokea siri tu.
Hivi Polepole ni nani ktk nchi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna haja na mashitaka kwake wananchi wao ndiyo wanaoona usibishane na mjinga
Ni mapema sana bwashee....... Huko mbele utaguna sana hahahaaaaaaa!Duh...!.
P
Kufananisha vyama pinzani na Corona si jambo la kiungwana na kiashiria cha kutokubali mawazo mbadala.
Je, Mr. Polepole amemdharau Raisi wa nchi alieamuru kufungwa kwa shule, vyuo na mikusanyiko kutokana na Corona?
Akihojiwa clouds Humphrey polepole amesema wapinzani Ni sawa Corona.
Kauli hii ya kiongozi kijana inaweza tafsiriwa Kama kauli ya kiongozi aliyepoteza dira na ambaye kwake maisha ya watu wasio ccm si kitu bali binadamu sahihi ni mwanaccm. Niwaomba viongoz wa chama tawala kuchukua hatua kwake na pia vyombo vya dola kumshughulikia kwani kumwacha aendelee na tabia hii kutasababisha wapinzani nao kutumia kauli Kama hizi kujibu mapigo na hivyo kusababisha mgawanyiko kwenye taifa.
Tukumbuke ishu ya MENDE kwa wenzetu...