Umenikumbusha Nape na wenzie Mwigulu na Makamba Jr. walivyokuwa wanajiona Alfa na Omega kipindi cha Kikwete.Mh.sana Polepole kumbuka kuna Maisha baada ya Awamu hii kumbuka Pia Mdomo uliponza kichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee na wewe unaona hii ni sawa?Ni mapema sana bwashee....... Huko mbele utaguna sana hahahaaaaaaa!
na kuhara pia.Huyu amekula kupitiliza mpaka amevimbiwa hapo anatapika tu.
Hivi pole pole Ni mzee au kijana?? Binafsi sijawahi mwelewa huyo jamaa kuanzia mwonekano wake mpaka sauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watalii na mabeberu kuna tofauti au nahitaji kuelimishwa. Vyovyote vile imethibitika kumbe hawa ni muhimu sana kwetu.
Bwashee Corona siyo siasa.....nashangaa wanaleta mizaha.Bwashee na wewe unaona hii ni sawa?
chuki dhidi ya Korona inayolinganishwa na chuki dhidi ya wapinzani.Hiyo ni chuki binafsi!
Bwashee umeeleza vyema sanaBwashee Corona siyo siasa.....nashangaa wanaleta mizaha.
Hapo Kenya mashamba ya maua yamefungwa, magulio yamefungwa wananchi wanadai solutions kutoka kwa viongozi wao kwamba wataishije?........viongozi wameanza kuwakwepa wananchi kwa kuwa hawana majawabu.
Ingekuwa hapa kwetu........majawabu ndio hayo unayoyasikia.
How come anapanic ?Polepole kiboko ya chadema! Kawamaliza wabunge wote๐๐๐