#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Wapinzani Wawe makini hizi ni kauli chokozi ili wajibu wabambikwe tena kumbuka wameshambuliwa Miaka ili wamalizwe wasiwepo wasipige kelele upigaji. We Kama si mwizi upinzani unakukera nn
Beatrice Kamugisha,
 
Halafu Watalii wenyewe ndio hawataki kuja sasa mpaka Polepole aumbuke hahahahaaa!! Kuna watu wa ajabu sana kama Katibu muenezi wa magonjwa.
 
Bwashee na wewe unaona hii ni sawa?
Bwashee Corona siyo siasa.....nashangaa wanaleta mizaha.

Hapo Kenya mashamba ya maua yamefungwa, magulio yamefungwa wananchi wanadai solutions kutoka kwa viongozi wao kwamba wataishije?........viongozi wameanza kuwakwepa wananchi kwa kuwa hawana majawabu.

Ingekuwa hapa kwetu........majawabu ndio hayo unayoyasikia.
 
Polepole kiboko ya chadema! Kawamaliza wabunge wote😋😋😋
 
Bwashee Corona siyo siasa.....nashangaa wanaleta mizaha.

Hapo Kenya mashamba ya maua yamefungwa, magulio yamefungwa wananchi wanadai solutions kutoka kwa viongozi wao kwamba wataishije?........viongozi wameanza kuwakwepa wananchi kwa kuwa hawana majawabu.

Ingekuwa hapa kwetu........majawabu ndio hayo unayoyasikia.
Bwashee umeeleza vyema sana
 
Back
Top Bottom