#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Yaani ningekuwa mimi mungu ningempa hiyo corona tena ya kifo kabisa na ndie angekuwa mtanzania wa kwanza kufa na corona
 
Katika jambo ambalo serikali inachemka Ni kutozuia mipaka yetu kwa kigezo cha utalii, huu Ni ujinga..
 
Waje tu kwa wingi.
Jeshi lao polisi tunalo.
JWTZ tunalo na makomandoo wale wa kuvunja matofali wapo wa kutosha..
Na bunduki zipo za kutosha kwa ajili ya KUPAMBANA NA CORONA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzalendo2015,
Kwani ni Siri kitendo alichokifanya Zitto Kabwe na Tundu Lissu kunatofauti gani na ucorona.
Zitto alienda kutamba kuzuia Fedha kwa ajili ya Elimu kutoka world Bank akidai anaikomoa Serikali inayoongozwa na JPM eti bila aibu akiruhusu JPM apate huo Mkopo utamjenga kisiasa na kukimarisha CCM.

Na Tundu kwenda kulitukana Taifa kuwa ni Taifa lisilofuata haki za Binadamu tena kwenye Mataifa yaliyovunja haki za Walibya, Wairaq, Waparestina mpaka mahakama ya kimataifa ya uharifu wa kivita iliwanyoshe kidole lakini yeye anaitukana Tanzania.

Kwa vitendo wanavyofanya aina ya Wapinzani kama hao ni hatari zaidi ya Corona.
 
Hivi huyu ni Msemaji wa Serikali au? Mbona anaongea kwa mamlaka kuliko hata waziri mkuu?
 
Huyo jamaa hana afya ya ubongo, kwa taifa letu upinzani ni unawapa changamoto wao chamadola ila wao awamu hii unauchukulia upinzani kama adui kwa chama chao ambacho kimekuwa cha kidikteta awamu hii.

Hivi kwa akili za kawaida kabisa chama ambocho ni COVID-19 kwa taifa letu ni kipi? kama sio FISIEMU ambacho kinapiga hatua mbili mbele za maendeleo ya nchi yetu na kurudi nyuma hatua kumi katika maendeleo ya taifa letu arafu kinajisifu kuwa kinaleta maendeleo kwa watu.
 
Suala la kuhatarisha afya ya binadamu Ni hatari zaidi kiuchumi kuliko kuzuia watalii. Mheshimiwa pole pole Kumbuka hakina uchumi utakaokua km watu wa Taifa lako hawana imani na Afya yao kupitia mlipuko wa Covid-19.

Tunahitaji man power ili kuweka mazingira rafiki ya utalii ndani ya nchi yetu. It is through man power that can enhance the development of tourism industry for the suistainance of our economy.

Vivutio vyetu vya utalii km vile mbuga za wanyama zinaendelea kuimarika kutokana na weledi mkubwa wa wataalamu wetu Katika sekta hii ya italii. Kwahyo nimejaribu tu ku link Kati ya Kujali afya ya binadamu na namna inavyoweza kuleta athari chanya katika uchumi.

" Let us think about How to stop the spread of COVID-19"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom