#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Huyu jamaa nadhani ana unyafuzi was mwili na akili,mshahara wa katibu mwenezi si chini ya 1.5 ila kamwili kako vile vile,katakuwa kalidumaa zamani mwili na akili na ndo maana kanatoa maneno ya jinsi hiyo.
 
Naomba nimfahamishi hili jambo Mr. Polepole. Jana alitoa hoja kuwa Tanzania hatuwezi kufunga mipaka sababu tutapoteza mapato tokana na utalii.

Hii sio sababu ya msingi Tanzania kutokufunga mipaka. Tanzania hatuwezi funga mipaka sababu inauchumi Tegemezi. Yaani tunategemea uchumi wa kimataifa.

Zaidi ya 70% ya bidhaa zinazotumika Tanzania zinatoka nje. Bandari yetu inaserve zaidi ya nchi 5. Tukifunga mipaka hata mwezi mmoja tu, uchumi unaweza poromika kwa hali ya hatari na serikali haitaweza pata fedha kuendesha hii nchi.

Hapa ndiyo tupate funzo kuwa nchi yetu bado ni Tegemezi. Hatuna jeuri ya kufunga mipaka hata siku moja.

Swala et tukifunga mipata tutapoteza watalii hii ni uongo au ufinyu wa fikra. Watalii kutoka nchi kama USA, Europe, Asia etc hawezi risk maisha yake kuja kwenye nchi ambayo anajua kuna korona na hata idadi ya waathrika ni vigumu kutambulika sababu ya uhaba wa vifaa vya upimaji nchi nzima.

Yaani mzungu kuja Tanzania sasa kwa utalii is like commiting suicide.

Kwa uzembe tulioonesha mpaka sasa hii secta ya utalii hapa Tanzania itayumba sana. Hata huu ugonjwa ukiisha watalii watakuwa bado na hofu ya kutembelea Africa hususan Tanzania.

Serikali ijipange kwa anguko kubwa la Uchumi. (2020-2021)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali iliyoko madarakani inaongozwa na Chama cha Mapinduzi ambacho msemaji wake ni Humphrey Polepole.

Siku mbili zilizopita msemaji huyo wa Chama tawala katoa kauli thabiti ya chama kwamba "CHADEMA ni CORONA". Kwa maana sahihi A=B so vice versa is true.

Kwa hiyo juhudi za kuiondoa CORONA lazima ziende sambamba na kuiangamiza CHADEMA na huwezi kuiongelea CHADEMA kama dubwasha kwani CHADEMA ni wanachama na viongozi wao.

Hivyo kupiga vita CORONA ukaiacha CHADEMA utakuwa hujafanya chochote cha maana kwani tatizo litabaki nchini kwa kazingatia haya majanga yanategemeana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polepole ni mpotoshaji na hajali maisha ya Mwananchi anachoangalia ni ugali wake mezani
 
Kwa uzembe tulioonesha mpaka sasa hii secta ya utalii hapa Tanzania itayumba sana. Hata huu ugonjwa ukiisha watalii watakuwa bado na hofu ya kutembelea Africa hususan Tanzania.
Dunia nzima hakuna nchi ambayo haikuumia kwa corona
Hao watalii unaowasifia,wote nchi zao zina corona
 
Back
Top Bottom