SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema kuna mtu anakatwa?
Polepole anaongelea mipango ya kitaifa kwa Corona kama nani? Hii nchi ishakuwa ukoo wa Kambale.
Walio responsible wamekaa kimya wanaogopa kuwajibika kwa maneno yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angeshakufa siku nyingi sana ukimwi na njaa hutoboiPolepole ana ukimwi kama sio kupewa fupa na magu angekua taabani sasa hivi
Sent from my iPad using JamiiForums
Dunia nzima hakuna nchi ambayo haikuumia kwa coronaKwa uzembe tulioonesha mpaka sasa hii secta ya utalii hapa Tanzania itayumba sana. Hata huu ugonjwa ukiisha watalii watakuwa bado na hofu ya kutembelea Africa hususan Tanzania.
Wapinzani ni kina nani kama si WaTz ?!.Kasema wapinzani hajasema watanzania huwezi jua labda anaongelea wapinzani wa Tanzania kwenye world cup championship
Nawe unadiriki kukubaliana na Pole Pole ...hivi wazazi wenu wanakua kua mnatabia mbaya kama hizi?Hiyo ni chuki binafsi!