Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Ndiyo mkakati mnaotumia kuan:isha thread zinazosema hakuna jipya? Wana CCM wenzenu wanahara huko walipoNilivyosikiliza nimeona ni uni au buluga kwa wale tuliokunywa buluga chekechea enzi ya mwalimu! Nilichokisoma ni muhini na wahuni wenzake wamemtanguliza kwakuwa hawakupata nafasi za kuchukua fomu ya kugombea urais 2025, ukiona hivyo ndo wanapumua! Anaongela kutekwa amesahau viroba vya mto ruvu bagamoyo?? Tukihoji kuhusu Saanane?Azori siyeye alikuwa mwenezi wa chama anaweza kutupa majibu?? Hizi ni sarakasi za kututoa relini this i can call inside job sioni jipya analojitanabisha nalo kwakuwa yote aliyazungumza yanasemwa mtaani! Labda kwakuwa Dada yake kachukuliwa kasta kuongea keamuwa anajua vizuri kitakachofuata maana kawatengeneza yeye! Mwisho nimwambie Polepole asinyee kiganja kitakachotumika kumlisha kesho!
CCM ni mashetani. Masisiyemu ni maadui wa hakiNilivyosikiliza nimeona ni uji au buluga,kwa wale tuliokunywa buluga chekechea enzi ya mwalimu!. Nilichokisoma ni muhini na wahuni wenzake wamemtanguliza kwakuwa hawakupata nafasi za kuchukua fomu ya kugombea urais 2025,! ukiona hivyo ndo wanapumua! Anaongelea kutekwa amesahau viroba vya mto ruvu bagamoyo?? Tukihoji kuhusu Saanane?Azori siyeye alikuwa mwenezi wa chama anaweza kutupa majibu??. Hizi ni sarakasi za kututoa relini this i can call inside job sioni jipya analojitanabisha nalo kwakuwa yote aliyazungumza yanasemwa mtaani!. Labda kwakuwa Dada yake kachukuliwa kasta kuongea keakuwa anajua vizuri kitakachofuata maana kawatengeneza yeye! Mwisho nimwambie Polepole asinyee kiganja kitakachotumika kumlisha kesho!
Mapungufu ya CCM ya magufuli hayahalalishi uhalifu unaofanywa na serikali ya CCM ya MamaSamia2025Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine.
Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli.
Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki ya kikatiba kushiriki siasa maana muasisi wa uhuni wa kuwanyanyasa wapinzani kama mbwa ni Magufuli na huyo Polepole.
Hazungumzii mambo ya utekaji maana ushenzi wakutekana ulipata kibali rasmi kipindi cha Magufuli. Huko nyuma ulikuwepo but kipindi cha Magufuli ndipo ukawa rasmi . Ndipo watu waliokotwa fukweni kama samaki .
Kwahiyo Polepole anapigania maslahi yake tu si Taifa.
Polepole si msafi wa kukemea serikali ya Samia.Mapungufu ya CCM ya magufuli hayahalalishi uhalifu unaofanywa na serikali ya CCM ya MamaSamia2025
Kuwa mchafu hakumnyimi haki ya kukemea uchafu. Swali la kijinga, kwanini Humphrey Polepole alipokuwa akitumika kama toilet ๐ช paper ๐งป ๐๏ธ kwanini hamkumsema? Mlikuwa mkiunga mkono juhudi?Polepole si msafi wa kukemea serikali ya Samia.
Yaan mtu akiwa CCM alafu ajifanye yupo upande wa wananchi namwonaga mnafikii tu ,,,polepole na CCM wenzake ndio wale wale tu mkuu..Tuongee ukweli nini PolePole kaongea cha maana ukilinganisha na gwajiboy
Nilivyosikiliza nimeona ni uji au buluga,kwa wale tuliokunywa buluga chekechea enzi ya mwalimu!. Nilichokisoma ni muhini na wahuni wenzake wamemtanguliza kwakuwa hawakupata nafasi za kuchukua fomu ya kugombea urais 2025,! ukiona hivyo ndo wanapumua! Anaongelea kutekwa amesahau viroba vya mto ruvu bagamoyo?? Tukihoji kuhusu Saanane?Azori siyeye alikuwa mwenezi wa chama anaweza kutupa majibu??. Hizi ni sarakasi za kututoa relini this i can call inside job sioni jipya analojitanabisha nalo kwakuwa yote aliyazungumza yanasemwa mtaani!. Labda kwakuwa Dada yake kachukuliwa kasta kuongea keakuwa anajua vizuri kitakachofuata maana kawatengeneza yeye! Mwisho nimwambie Polepole asinyee kiganja kitakachotumika kumlisha kesho!
Kakata kuwa sehemu ya wahuni uku akiwa anamiliki KADI ya chama Cha wahuniii๐๐๐๐PolepOle amekataa kuwa sehemu ya WAHUNI #KATAA_WAHUNI.